-
Mkutano wa Matumizi Endelevu ya Bahari waendelea Nairobi
Nov 27, 2018 11:42Mkutano wa kimataifa kuhusu matumizi endelevu ya bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi umeingia siku ya pili hii leo huko Nairobi, Kenya, huku washiriki wakizungumzia umuhimu wa bahari katika uchumi wa visiwa.
-
SAUTI, Hatimaye Msikiti wa Riyadha kisiwani Lamu, Kenya uliojengwa mwaka 1892, umeorodheshwa kuwa kati ya turathi za kimataifa
Nov 21, 2018 13:36Msikiti wa Riadha umekuwa msikiti wa kwanza nchini Kenya kutambuliwa kimataifa kama moja ya turathi ya kitaifa kutokana na kuwa na umri mrefu tangu ulipojengwa.
-
SAUTI, Kenya yaamua kuimarisha usalama wa baharini kuzuia uhalifu, uvuvi haramu, magendo ya madawa ya kulevya nk
Nov 20, 2018 13:05Serikali ya Kenya imeamua kujiimarisha kwa kudhibiti mipaka yake ya majini ambayo imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi ya wahalifu hususan magendo ya madawa ya kulevya na binaadamu.
-
Kenya yawakamata wavuvi 16 wa Tanzania kwa kuingia katika maji yake
Nov 19, 2018 00:46Polisi ya Kenya imewatia nguvuni wavuvi 16 raia wa Tanzania, kwa kuingia katika ardhi yake na kuvua samaki kinyume cha sheria.
-
Waislamu Kenya walalamikia kutengwa na Idara ya Uhamiaji + Sauti
Nov 16, 2018 02:57Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameilalamikia Idara ya Uhamiaji ya nchi hiyo kuwa ingali inafanya ubaguzi katika utoaji huduma. Seifullah Murtadha na maelezo kamili...
-
Mgomo wa matatu Kenya wamalizika baada kutatiza usafiri
Nov 12, 2018 12:52Mgomo wa kitaifa wa magari ya abiria yanayojulikana kama Matatu nchini Kenya ulioanza leo umemalizika baada ya kutatiza usafiri na kulazimisha maelfu kutembea kwa miguu.
-
Rais Uhuru Kenyatta alipongeza jeshi la Kenya kwa kazi nzuri linayoifanya + Sauti
Nov 08, 2018 13:07Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amepongeza juhudi za jeshi la nchi yake KDF kujumlisha tekinolojia ya kisasa katika mfumo wake wa utoaji mafunzo kwa makuruta, akiitaja hatua hio kama chanya kwenye kuafiki kasi ya mabadiliko ya changamoto za kiusalama nchini mwake na Pembe ya Afrika. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi...
-
Vita dhidi ya ufisadi Kenya, asasi za kijamii zaiandalia chata Serikali + Sauti
Nov 06, 2018 03:25Asasi za kijamii nchini Kenya zimeweka mikakati ya kubadilisha taswira kwenye vita dhidi ya ufisadi kwa kuandaa chata ambayo inaielekeza serikali katika kupambana na ugaidi bila ya kutumia nguvu kupita kiasi. Seifullah Murtadha na taarifa zaidi...
-
Baba wa Tovuti ajuta, ataka kudhibitiwa chombo hicho
Nov 02, 2018 12:53Profesa wa Taasisi ya Teklonojia ya Massachusetts na mhadhiri katiika Chuo Kikuu cha Oxford nchini Marekani, Tim Berners-Lee amesema kuwa amekatishwa tamaa na hali ya sasa ya mtandao wa Intaneti (Tovuti) baada ya kashfa kadhaa za jinsi taarifa za watu binafsi katika mitandao ya kijamii zinavyotumiwa vibaya kueneza chuki na uhasama.
-
Waziri wa zamani wa michezo Kenya kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za ufisadi
Oct 13, 2018 12:26Waziri wa zamani wa michezo wa Kenya atapandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kupora fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya wanariadha wa nchi hiyo walioshiriki michezo ya Olimpiki nchini Brazil miaka miwili iliyopita.