Vita dhidi ya ufisadi Kenya, asasi za kijamii zaiandalia chata Serikali + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i49316-vita_dhidi_ya_ufisadi_kenya_asasi_za_kijamii_zaiandalia_chata_serikali_sauti
Asasi za kijamii nchini Kenya zimeweka mikakati ya kubadilisha taswira kwenye vita dhidi ya ufisadi kwa kuandaa chata ambayo inaielekeza serikali katika kupambana na ugaidi bila ya kutumia nguvu kupita kiasi. Seifullah Murtadha na taarifa zaidi...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Nov 06, 2018 03:25 UTC