Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenya yajiunga na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB

    Kenya yajiunga na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB

    May 04, 2018 23:34

    Kenya imejiunga na na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB ikiwa ni katika jitihada za nchi hiyo kutafuta fursa mpya za kuijiimarisha kiuchumi.

  • Mafuriko Yazidi kuua Kenya, saba wafariki Rongai

    Mafuriko Yazidi kuua Kenya, saba wafariki Rongai

    May 04, 2018 08:59

    Mafuriko yanaendelea kuua watu nchini Kenya ambapo katika tukio la hivi karibuni, watu saba wamefariki dunia katika Kuanti ya Kajiado inayopakana na Nairobi.

  • Rais Kenyatta awaomba radhi Wakenya (SAUTI)

    Rais Kenyatta awaomba radhi Wakenya (SAUTI)

    May 02, 2018 14:05

    Alihutubia taifa kupitia Bunge la nchi hiyo ya Afrika Mashariki...

  • Ukosefu wa usalama wakwamisha shughuli za masomo kaskazini mwa Kenya

    Ukosefu wa usalama wakwamisha shughuli za masomo kaskazini mwa Kenya

    Apr 19, 2018 10:40

    Ukosefu wa usalama katika Kaunti ya Wajir nchini Kenya unaelezwa kuwa unatishia kuvuruga shughuli za masomo katika shule nyingi za maeneo hayo.

  • Nusu ya Makamishna wa Tume ya uchaguzi Kenya wajiuzulu

    Nusu ya Makamishna wa Tume ya uchaguzi Kenya wajiuzulu

    Apr 16, 2018 03:34

    Mgogoro ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya IEBC unaendelea kutokota huku nusu ya makamishna wa tume hiyo wakitangaza kujiuzulu.

  • Ulimwengu wa Michezo, Apr 16

    Ulimwengu wa Michezo, Apr 16

    Apr 16, 2018 01:56

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita..

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 9

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 9

    Apr 09, 2018 01:39

    Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie matukio muhimu yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....

  • Hatimaye Miguna Miguna arejeshwa nchini Canada,  amlaumu Raila Odinga kwa kumsaliti

    Hatimaye Miguna Miguna arejeshwa nchini Canada, amlaumu Raila Odinga kwa kumsaliti

    Apr 02, 2018 10:46

    Mwanasheria wa upinzani nchini Kenya aliyemuapisha Kinara wa Muungano wa Upinzani (NASA), Raila Odinga kuwa rais wa watu, Miguna Miguna amesafirishwa kwa ndege kutoka mjini Dubai, hadi Toronto, Canada.

  • Ujenzi wa ukuta katika mpaka wa Kenya na Somalia wasimamishwa

    Ujenzi wa ukuta katika mpaka wa Kenya na Somalia wasimamishwa

    Mar 30, 2018 10:38

    Shughuli ya kujenga ukuta wa kilomita 700 katika mpaka wa Kenya na Somalia imesimamishwa kwa muda, ili kutoa nafasi ya kufanyika mashauriano zaidi kati ya nchi mbili hizo jirani.

  • Mahakama Kuu Kenya yaijia juu serikali kwa kukiuka amri ya kuhusiana na Miguna Miguna

    Mahakama Kuu Kenya yaijia juu serikali kwa kukiuka amri ya kuhusiana na Miguna Miguna

    Mar 29, 2018 04:30

    Mahakama Kuu nchini Kenya imekasirishwa mno na kitendo kilichofanywa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo cha kumsafirisha mwanasheria wa upinzani, Miguna Miguna kutoka mjini Nairobi hadi Dubai bila yay eye kujijua, licha ya kwamba awali mahakama hiyo ilikuwa imeruhusu mtu huyo kuruhusiwa kuingia nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS