Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Mwanasheria Mkuu wa Kenya amuonya Odinga dhidi ya kujiapisha

    Mwanasheria Mkuu wa Kenya amuonya Odinga dhidi ya kujiapisha

    Dec 07, 2017 11:30

    Mwanasheria Mkuu wa Kenya ametahadharisha kuhusu mpango wowote wa kumuapisha kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga kama 'rais wa watu' wiki ijayo.

  • Mkutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa waanza Nairobi

    Mkutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa waanza Nairobi

    Dec 04, 2017 03:41

    Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Miroslav Lajčák aliyeko ziarani nchini Kenya, amesema maendeleo hayapaswi kusababisha uharibifu wa mazingira.

  • Kenya na Tanzania zaelekea katika mzozo wa maji

    Kenya na Tanzania zaelekea katika mzozo wa maji

    Nov 30, 2017 13:02

    Ukanda wa Hifadhi za Taifa za Serengeti nchini Tanzania na Maasai Mara nchini Kenya ambao una mojawapo wa maajabu manane ya dunia yanayovutia watalii unakumbwa na tishio la kimazingira kutokana na nchi hizo mbili kuingia katika mgogoro wa kugombania maji.

  • Odinga 'kujiapisha' Disemba 12, kupinga ushindi wa Kenyatta UN

    Odinga 'kujiapisha' Disemba 12, kupinga ushindi wa Kenyatta UN

    Nov 29, 2017 04:52

    Kinara wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema ataapishwa kuwa rais 'halali' wa Kenya Disemba 12, wakati nchi hiyo itakuwa inaadhimisha Siku ya Jamhuri.

  • Uhuru Kenyatta aapishwa kama rais wa Kenya

    Uhuru Kenyatta aapishwa kama rais wa Kenya

    Nov 28, 2017 13:08

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameapishwa kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili wa miaka mitano mjini Nairobi leo katika sherehe iliyohudhuriwa na maelfu ya wafuasi wake na viongozi kadhaa wa nchi za Afrika.

  • Uhuru kuapishwa leo, kambi ya upinzani yasusia, yaitisha mkutano Jacaranda

    Uhuru kuapishwa leo, kambi ya upinzani yasusia, yaitisha mkutano Jacaranda

    Nov 28, 2017 00:05

    Mivutano ya kisiasa inaonekana kupamba moto zaidi leo nchini Kenya huku vyombo vya usalama vikilinda maeneo muhimu ya jiji la Nairobi kabla ya kuapishwa Rais Uhuru Kenyatta hii leo kwa ajili ya kipindi cha awamu ya pili.

  • Kenyatta amualika Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake

    Kenyatta amualika Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake

    Nov 25, 2017 00:52

    Rais Uhuru Kenyatta amemualika 'ndugu yake' Raila Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake zikatazofanyika katika mji mkuu Nairobi Jumanne ijayo ya Novemba 28.

  • Kuendelea mivutano baada ya Mahakama ya Juu ya Kenya kuthibitisha ushindi wa Uhuru Kenyatta

    Kuendelea mivutano baada ya Mahakama ya Juu ya Kenya kuthibitisha ushindi wa Uhuru Kenyatta

    Nov 21, 2017 11:10

    Baada ya kupita wiki kadhaa tangu ulipofanyika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya na kufuatia kesi zilizofunguliwa mahakamani kutaka matokeo ya uchaguzi huo yabatilishwe, Mahakama ya Juu ya nchi hiyo imetupilia mbali kesi hizo na kuthibitisha ushindi wa Uhuru Kenyatta katika uchaguzi huo.

  • Rais Rouhani wa Iran ampongeza Rais Kenyatta wa Kenya kwa kuchaguliwa tena

    Rais Rouhani wa Iran ampongeza Rais Kenyatta wa Kenya kwa kuchaguliwa tena

    Nov 21, 2017 04:15

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ujumbe wa kumpongeza kufuatia kuchaguliwa tena kuwa rais wa Kenya.

  • Mahakama ya Kilele Kenya yaidhinisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

    Mahakama ya Kilele Kenya yaidhinisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

    Nov 20, 2017 11:11

    Mahakama ya Kilele nchini Kenya imetupilia mbali kesi mbili zilizokuwa zimewasilishwa kupinga uchaguzi wa rais wa marudio wa Oktoba 26 na hivyo kuidhinisha ushindi wa Uhuru Kenyatta.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS