Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Viongozi wa CORD wapigwa mabomu ya kutoa machozi Nairobi

    Viongozi wa CORD wapigwa mabomu ya kutoa machozi Nairobi

    Apr 25, 2016 12:04

    Viongozi wa Muungano wa CORD wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga na wafuasi wao wamekumbwa na zahama kubwa leo baada ya polisi kuwafyatulia mabomu ya kutoa machozi katika jaribio la kutawanya maandamano yao mbele ya jengo la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC jijini Nairobi.

  • Rais wa Kenya aidhinisha sheria dhidi ya pufya

    Rais wa Kenya aidhinisha sheria dhidi ya pufya

    Apr 22, 2016 10:53

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo ameidhinisha sheria zitakatambua pufya au doping kuwa kosa la jinai.

  • Matangazo ya biashara yanayokiuka maadili marufuku Kenya

    Matangazo ya biashara yanayokiuka maadili marufuku Kenya

    Apr 19, 2016 22:15

    Bodi ya Filamu nchini Kenya imepiga marufuku matangazo ya biashara yanayokiuka maadili mema katika redio, televisheni na maeneo ya umma nchini humo.

  • Kipindupindu chaua watu kadhaa Zambia

    Kipindupindu chaua watu kadhaa Zambia

    Apr 14, 2016 00:22

    Watu kadhaa wamepoteza maisha kutokana na kusambaa ugonjwa wa kipindupindu katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka.

  • Al Shabab washambulia kituo cha polisi Kenya

    Al Shabab washambulia kituo cha polisi Kenya

    Apr 10, 2016 10:42

    Magaidi wameshambulia kituo cha polisi katika mpaka wa Kenya na Somalia na kupora gari la polisi na kombora moja.

  • ICC: Naibu Rais wa Kenya hana kesi ya kujibu

    ICC: Naibu Rais wa Kenya hana kesi ya kujibu

    Apr 05, 2016 12:12

    Mahakama ya Kimatiafa ya Jinai ICC imetangaza kuwa Naibu wa Rais wa Kenya William Ruto na mwanahabari Joshua Sang hawana kesi ya kujibu kufuatia kuvurugika mkondo wa kesi dhidi yao.

  • Wakenya waadhimisha mauaji ya Garissa kwa maandamano

    Wakenya waadhimisha mauaji ya Garissa kwa maandamano

    Apr 02, 2016 12:04

    Mamia ya wanafunzi na wakazi wa mji wa Garissa nchini Kenya, wamefanya maandamano ya kulaani hujuma ya kundi la kigaidi la ash-Shabab katika chuo kikuu cha mji huo mwaka mmoja uliopita.

  • 'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'

    'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'

    Mar 28, 2016 02:42

    Imedaiwa kuwa Jordan na Uingerea zinashirikiana kwa siri kuisaidia Kenya kukabiliana na kundi la kigaidi la Al Shabab.

  • Wakenya wafurahishwa na kufutwa baraza la mitihani KNEC

    Wakenya wafurahishwa na kufutwa baraza la mitihani KNEC

    Mar 27, 2016 06:06

    Asilimia kubwa ya raia wa Kenya wameunga mkono hatua ya Waziri wa Elimu nchini humo, kufuta Baraza la Mitihani la nchi hiyo (KNEC)

  • Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Mar 22, 2016 03:34

    Magaidi zaidi ya 70 wa kundi la kitakfiri la al Shabab wameuawa katika mapigano na Jeshi la Somalia kaskazini mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS