-
Baraza la Tano la Wanazuoni wa Kumchagua Kiongozi lazinduliwa kwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu
May 24, 2016 11:53Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema jukumu la Baraza la Wanazuoni Wataalamu wa Kumchagua Kiongozi Mkuu ni kulinda kwa umakini na kwa hali zote utambulisho wa Kiislamu na Kimapinduzi wa Mfumo.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika maadhimisho ya Kubaathiwa Mtume (saw)
May 05, 2016 09:15Kupambana na harakati ya ujahili, ndilo jukumu muhimu zaidi la Umma wa Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Uhusiano wa Iran na Korea Kusini lazima uendelee
May 03, 2016 00:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitizia umuhimu wa kuendelezwa uhusiano imara na usioweza kuathiriwa na vikwazo na uhasama wa Marekani baina ya Iran na Korea Kusini,.
-
Ayatullah Khamenei: Ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kigezo cha maendeleo cha Kiislamu
Apr 25, 2016 12:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu.
-
Mazungumzo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Waziri Mkuu wa Italia
Apr 13, 2016 08:38Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi, ambaye yuko safarini hapa nchini jana alionana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Apr 12, 2016 12:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, madola yanayodai kupambana na ugaidi hususan Marekani hayana nia ya kweli katika uwanja huo.
-
Ayatullah Khamenei: Sera za uchumi ngangari zitekelezwe ipasavyo
Apr 07, 2016 02:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amekutana na kuhutubia hadhara ya maafisa wa mihimili mitatu ya dola na kusisitiza kuwa ataunga mkono kwa nguvu zote hatua yoyote yenye manufaa na ya dharura kwa ajili ya maslahi ya taifa, na kwa ajili ya kutatua matatizo ya wananchi.
-
Rais Rouhani amtumia Kiongozi Muadhamu salamu za mwaka mpya wa Hijria Shamsia
Mar 21, 2016 11:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa mkono wa kheri na fanaka Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwadia mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1395 Hijria Shamsia
Mar 20, 2016 13:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuelezea mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia kuwa ni mwaka uliochanganyika "matamu na machungu", "mipando na mishuko" na kujumuisha "fursa na vitisho".
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1395 Hijria Shamsia
Mar 20, 2016 12:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuelezea mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia kuwa ni mwaka uliochanganyika "matamu na machungu", "mipando na mishuko" na kujumuisha "fursa na vitisho".