Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Korea Kaskazini yalifanyia majaribio kombora la kimkakati la kruzi na silaha nyingine

    Korea Kaskazini yalifanyia majaribio kombora la kimkakati la kruzi na silaha nyingine

    Jul 05, 2026 10:57

    Korea Kaskazini imelifanyia jaribio kombora la kimkakati la kruzi na silaha nyingine kutoka katika meli yake mpya ya kivita ya Kang Kon yenye yenye uzito wa tani 5,000 na refu wa mita 140. Shirika Kuu la Habari la Korea Kaskazini KCNA leo limetangaza kuwa Kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un alisimamia majaribio hayo siku ya Ijumaa.

  • Korea Kaskazini yaituhumu Japan kujigeuza ‘Taifa la Vita’ kufuatia mazoezi ya kijeshi na Marekani

    Korea Kaskazini yaituhumu Japan kujigeuza ‘Taifa la Vita’ kufuatia mazoezi ya kijeshi na Marekani

    Jun 30, 2026 03:40

    Korea Kaskazini imekosoa vikali mazoezi ya kijeshi yanayoendelea kati ya Marekani na Japan, ikiituhumu Tokyo kutumia hali ya sasa ya dunia iliyojaa misukosuko kama kisingizio cha “kujihalalishia mabadiliko yake kuwa taifa la vita.”

  • Russia yaonya US, waitifaki: Msiitishie Russia na Korea Kaskazini

    Russia yaonya US, waitifaki: Msiitishie Russia na Korea Kaskazini

    Jul 12, 2025 13:15

    Moscow imeionya Marekani na waitifaki wake dhidi ya kuzitishia Russia na Korea Kaskazini.

  • Pyongyang yajibu mapigo, yavurumisha makombora baharini

    Pyongyang yajibu mapigo, yavurumisha makombora baharini

    Mar 10, 2025 07:52

    Korea Kaskazini imevurumisha makombora kadhaa ya balestiki baharini leo Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Korea Kusini na Marekani kuanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya kila mwaka ya pamoja, ambayo Pyongyang inayatazama kama majaribio ya uvamizi.

  • Korea Kaskazini: Tutatoa jibu kali kwa maneva ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekani

    Korea Kaskazini: Tutatoa jibu kali kwa maneva ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekani

    Mar 08, 2025 23:06

    Korea Kaskazini imeionya Seoul na kutishia kuchukua hatua kali iwapo mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya kila mwaka kati ya Korea Kusini na Marekani yataendelea katika wiki zijazo.

  • Jumatatu, Disemba 02, 2024

    Jumatatu, Disemba 02, 2024

    Dec 01, 2024 23:35

    Leo ni Jumatatu tarehe 30 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria, mwafaka na tarehe Pili Disemba 2024.

  • Pyongyang kufanyia majaribio ICBM wakati wa uchaguzi wa US?

    Pyongyang kufanyia majaribio ICBM wakati wa uchaguzi wa US?

    Oct 30, 2024 23:03

    Korea Kusini imesema yumkini Korea Kaskazini itafanyia majaribio kombora lake jipya la balestiki, lenye uwezo wa kuvuka mabara la ICBM wakati huu wa msimu wa uchaguzi wa rais wa Marekani.

  • Jumatatu, 09 Septemba, 2024

    Jumatatu, 09 Septemba, 2024

    Sep 08, 2024 23:26

    Leo ni Jumatatu tarehe 05 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe 09 Septemba 2024.

  • Jumamosi, 10 Agosti, 2024

    Jumamosi, 10 Agosti, 2024

    Aug 09, 2024 22:59

    Leo ni Jumamosi 5 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria mwafaka na 10 Agosti 2024.

  • UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

    UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

    Apr 30, 2024 03:51

    Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS