-
Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan
Oct 22, 2023 03:20Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia amelaani uungaji mkono na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine na kusema, mara hii pia Marekani itashindwa na kufeli kama ilivyokuwa huko Afghanistan.
-
Ushirikiano wa Korea Kaskazini na Russia dhidi ya Marekani
Oct 21, 2023 11:28Katika mazungumzo yake na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, wamejadiliana kuhusu uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wao wa hivi sasa na kusisitiza juu ya makubaliano yao ya kutatua kidiplomasia masuala yenye utata katika Peninsula ya Korea.
-
Korea Kaskazini yatishia kuishambulia manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani
Oct 15, 2023 02:32Korea Kaskazini imeitishia Marekani kwamba itaanzisha "shambulio kali zaidi na la haraka zaidi la kujikinga" dhidi ya zana za kijeshi za nchi hiyo, ikiwa ni pamoja na meli yake ya kivita ya nyuklia iliyoko kwenye maji ya Peninsula ya Korea.
-
Jumamosi, 09 Septemba 2023
Sep 09, 2023 02:18Leo ni Jumamosi tarehe 23 Mfunguo Tano Safar 1445 Hijria mwafaka na tarehe 9 Septemba 2023 Miladia.
-
Pyongyang: Askari wa US alitorokea Korea Kaskazini kutokana na ubaguzi
Aug 17, 2023 03:13Serikali ya Pyongyang imesema askari Mmarekani mwenye asili ya Afrika alitorokea Korea Kaskazini kutokana na vitendo vya ubaguzi wa rangi na dhulma alizokuwa akishuhudia ndani ya jeshi la Marekani.
-
Putin na Kim watilia mkazo kuwepo uhusiano wa karibu zaidi kati ya Russia na Korea Kaskazini
Aug 16, 2023 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wameahidi kujenga ushirikiano wa karibu zaidi kati ya nchi zao mbili katika mawasiliano waliyofanya kwa barua kwa manasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Ukombozi wa Korea Kaskazini.
-
Alkhamisi, Agosti 10, 2023
Aug 10, 2023 02:24Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria mwafaka na tarehe 10 Agosti 2022.
-
Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan
Aug 04, 2023 07:51Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipa Taiwan msaada wa silaha wa mamilioni ya dola ikisisitiza kuwa, Washington inakitumia kisiwa hicho kinachojitawala kushadidisha taharuki na kuchochea moto wa vita katika eneo.
-
Korea Kaskazini yavurumisha makombora kujibu uchokozi wa Marekani
Jul 19, 2023 10:09Korea Kaskazini imevurumisha makombora mawili ya balestiki kuelekea Bahari ya Mashariki kujibu chokochoko za Marekani.
-
Kuendelea harakati hatari za kijeshi za Marekani barani Asia
Jun 18, 2023 10:26Sera hatari za kijeshi na za kichochezi za Marekani katika bara kubwa duniani yaani bara la Asia zingali zinaendelea.