Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kusini

  • Jumatano, 15 Agosti, 2018

    Jumatano, 15 Agosti, 2018

    Aug 15, 2018 02:34

    Leo ni Jumatano tarehe 3 Dhulhija 1439 Hijria sawa na Agosti 15, 2018.

  • Upinzani wa baraza la wawakilishi la Marekani juu ya kuondoka askari wa nchi hiyo Korea Kusini

    Upinzani wa baraza la wawakilishi la Marekani juu ya kuondoka askari wa nchi hiyo Korea Kusini

    Jul 30, 2018 04:38

    Baraza la Wawakilishi la Marekani, limekataa kupunguzwa na kuondolewa askari wa nchi hiyo walioko nchini Korea Kusini.

  • Trump afuta ratiba ya maneva ya kijeshi na Korea Kusini

    Trump afuta ratiba ya maneva ya kijeshi na Korea Kusini

    Jul 07, 2018 13:48

    Rais Donald Trump wa Marekani amefuta ratiba ya maneva ya kijeshi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kati ya jeshi la Marekani na Korea Kusini kutokana na gharama.

  • Korea Kusini: Tutaendelea kununua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Korea Kusini: Tutaendelea kununua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Jul 06, 2018 08:09

    Afisa wa ngazi ya juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini amesema kuwa, nchi hiyo itaendelea kununua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Tehran.

  • Kufunguliwa kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani nchini Korea Kusini

    Kufunguliwa kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani nchini Korea Kusini

    Jul 01, 2018 11:26

    Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza azma ya kutaka kupunguza askari wa nchi hiyo katika eneo la Peninsula ya Korea, serikali ya Washington imefungua kambi kubwa zaidi ya kijeshi duniani karibu na Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini.

  • Jumatatu tarehe 25 Juni, 2018

    Jumatatu tarehe 25 Juni, 2018

    Jun 25, 2018 07:53

    Leo ni Jumatatu tarehe 11 Shawwal 1439 Hijria sawa na tarehe 25 Juni 2018.

  • Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani, lailazimisha Washington kurejea nyuma

    Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani, lailazimisha Washington kurejea nyuma

    May 18, 2018 03:53

    Kufuatia onyo kali la Korea Kaskazini la kutaka kuvunja kikao tarajiwa kati ya kiongozi wa nchi hiyo na Rais wa Marekani hapo tarehe 12 Juni mwaka huu, hatimaye Washington imelazimika kutangaza kwamba ndege za kivita zenye kubeba mabomu ya nyuklia hazitashirki katika maneva ya pamoja ya anga ya nchi hiyo na Korea Kusini.

  • Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake na Marekani

    Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake na Marekani

    May 16, 2018 07:19

    Korea Kaskazini imetishia kufuta mkutano kati ya kiongozi wake, Kim Jong-un na Rais Donald Trump wa Marekani, kutokana na kile inachodai kuwa ni chokochoko za Washington na Korea Kusini dhidi yake.

  • Korea Kusini yashangazwa na madai ya Japan kwamba inaitumia Korea Kaskazini mafuta

    Korea Kusini yashangazwa na madai ya Japan kwamba inaitumia Korea Kaskazini mafuta

    May 14, 2018 13:59

    Serikali ya Korea Kusini sambamba na kukanusha madai ya Japan kwamba, inatuma mafuta kwenda Korea Kaskazini kwa siri, imesema kuwa Seoul imefungamana vilivyo na vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Pyongyang.

  • Bolton: Marekani haitapunguza wanajeshi wake Korea ya Kusini

    Bolton: Marekani haitapunguza wanajeshi wake Korea ya Kusini

    May 05, 2018 04:04

    John Bolton Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo hajaiomba Pentagon kuhusu njia mbadala zinazoweza kutekelezwa mkabala na kupunguza wanajeshi wa Marekani walioko Korea ya Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS