-
IRGC yasisitiza: Jinai ulizofanya utawala wa Kizayuni katu hazitaachwa bila kujibiwa
Apr 02, 2023 07:22Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa: bila ya shaka yoyote jinai za utawala bandia na mtenda jinai wa Kizayuni hazitaachwa bila kujibiwa; na utawala huo haramu utalipa gharama za jinai zake.
-
Iran yakosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu
Feb 02, 2023 08:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu kwa kuchapisha picha za mashahidi wa Kipalestina waliouawa na jeshi la Israel katika mwezi uliopita.
-
Jumla ya Wapalestina 35 wameuliwa shahidi na Israel mwezi Januari pekee
Jan 30, 2023 22:53Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi Januari mwaka huu ndio mwezi uliojaa umwagaji damu mkubwa zaidi katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwaua shahidi Wapalestina 38.
-
Shtayyeh: Wapalestina 220 wameuawa shahidi mwaka huu wa 2022
Dec 28, 2022 04:33Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema: Tangu mwanzoni mwa mwaka huu utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 220 katika maeneo tofauti ya Palestina.
-
OIC yalaani jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin
Dec 09, 2022 23:43Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin, mauaji ya Wapalestina wanne na pia hujuma dhidi ya Msikiti wa Ibrahim na shule za Palestina.
-
Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu
Dec 05, 2022 22:47Kwa akali Wapalestina 160 wameuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan tangu kuanza mwaka huu wa 2022.
-
UN: 2022, mwaka wa mauaji zaidi katika ardhi za Palestina katika miaka 16 iliyopita
Oct 19, 2022 07:02Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo Yanayokaliwa kwa Mabavu ametangaza katika ripoti yake kwamba mwaka huu wa 2022 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu zaidi katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka 16 iliyopita.
-
Kamanda wa IRGC eneo la Sistan na Baluchestan auawa na magaidi
Oct 01, 2022 01:53Kamanda wa kitengo cha usalama cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika mkoa wa kusini mashariki wa Sistan na Baluchestan ameuawa shahidi katika makabiliano na wapinga mapinduzi ambao walifyatua risasi karibu na msikiti katika mji mkuu wa mkoa huo, Zahedan.
-
Israel imewaua shahidi watoto Wapalestina zaidi ya 1,000 tangu 2008
Aug 12, 2022 03:10Tangu mwaka 2008, zaidi ya watoto elfu moja wa Kipalestina wameuawa shahidi katika Ukanda wa Gaza katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Israel imewaua shahidi Wapalestina 77 katika kipindi cha miezi sita
Jul 03, 2022 06:45Tokea mwanzo wa mwaka huu wa 2022, hadi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 77 wakiwemo watoto 15.