-
Ahadi ya serikali ya Iraq ya kuyashinda kikamilifu magaidi baada ya muda si mrefu
May 20, 2016 16:24Kufuatia kukombolewa mji wa kistratijia wa Rutbah katika mkoa wa Al- Anbar magharibi mwa Iraq, Waziri Mkuu wa nchi hiyo Haidar al-Abadi ametangaza kuwa karibuni hivi vikosi vya jeshi vitayashinda kikamilifu makundi ya kigaidi na kitakfiri.
-
Wito wa kuwepo azma ya kupambana na makundi ya kigaidi Afrika
Apr 28, 2016 15:14Mkuu wa kikosi cha Kiafrika cha kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi hilo kuzidisha azma ya kukabiliana na ugaidi.
-
Baraza la Usalama latahadharisha kuhusu mashambulizi ya kigaidi
Apr 26, 2016 04:42Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuhusu hatari ya kushadidi mashambulizi ya makundi ya kigaidi katika Bara Arabu na Iraq.
-
Miaka miwili yapita tangu Boko Haram kuteka wasichana Chibok
Apr 15, 2016 08:00Ni miaka miwili sasa tangu magaidi wakufurishaji wa Boko Haram walipowateka nyara wasichana wa shule ya serikali katika mji wa Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Boko Haram wanatumia watoto katika hujuma za kigaidi
Apr 12, 2016 16:26Kundi la magaidi wakufurishaji wa Boko Haram nchini Nigeria wanazidi kuwatumia watoto wadogo kusheheni bomu na kujiripua katika hujuma za kigaidi.
-
Brigedia Jenerali Pourdastan: Wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh walijaribu kupenya Iran wakashindwa
Apr 11, 2016 13:33Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwezi mmoja uliopita, wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh walijaribu kupenya ili waingie Iran lakini jaribio lao hilo likafeli.
-
Al Shabab washambulia kituo cha polisi Kenya
Apr 10, 2016 15:12Magaidi wameshambulia kituo cha polisi katika mpaka wa Kenya na Somalia na kupora gari la polisi na kombora moja.
-
Marekani imewakabidhi silaha magaidi Syria
Apr 10, 2016 03:05Tovuti moja ya habari imefichua kuwa Marekani hadi sasa imeshatoa msaada wa tani elfu tatu za silaha kwa magaidi wa Al Qaeda na washirika wao nchini Syria.
-
Makamanda saba wa Al Shabab wauawa Somalia
Apr 05, 2016 14:20Makamanda saba wa kundi la kigaidi la Al Shabab wameuawa Somalia katika oparesheni za pamoja za Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Somalia AMISOM na jeshi la nchi hiyo.
-
Naibu kinara wa Boko Haram akamatwa
Apr 03, 2016 13:42Naibu kinara wa kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria amekamatwa katika oparesheni ya vikosi vya usalama nchini humo.