-
Askari 30 wauawa na makumi wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 02, 2018 02:23Askari 30 wa Nigeria wameuliwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 87 wa al Shabab wauawa kusini mwa Somalia
Jul 24, 2018 16:11Serikali ya Somalia imetangaza kuwa imewaangamiza magaidi 87 wa kundi la al Shabab katika mapigano yaliyotokea jana kusini mwa nchi hiyo.
-
Dakta Kharrazi: Makundi ya kigaidi yanahamishiwa Afghanistan na kaskazini mwa Afrika
Jul 15, 2018 14:08Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema kuwa, baada ya makundi ya kigaidi kushindwa huko Syria na Iraq sasa yanahamishiwa katika maeneo mengine hususan Afghanistan na kaskazini mwa Afrika.
-
Magaidi wa Boko Haram waua watu 8 katika hujuma mpakani mwa Nigeria na Cameroon
Jul 02, 2018 02:38Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia kambi ya wakimbizi wa ndani ya nchi, IDP, katika hujuma waliyotekeleza katika eneo la mpaka wa Nigeria na Cameroon ambapo watu wasiopungua wanne wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Iran yazima njama ya magaidi wakufurishaji kujipenyeza nchini
Jun 26, 2018 07:50Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu limetangaza kufanikiwa kuwazuia magaidi wakufurishaji kujipenyeza katika eneo la Mirjaveh kusini mashariki mwa nchi.
-
Magaidi 7 wa Al Shabab, akiwemo Mtanzania, waangamizwa katika mapigano Somalia
Jun 26, 2018 07:44Jeshi la Somalia limewaangamiza magaidi saba wa kundi la kigaidi la Al Shabab katika mapigano yaliyojiri katika eneo la Lower Juba kusini mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la SEPAH la Iran lasambaratisha makundi mawili ya kigaidi mjini Tehran
May 29, 2018 08:02Kamanda wa Kikosi cha Muhammad Rasulullah cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH, ametangaza kusambaratishwa makundi mawili ya kigaidi mjini Tehran.
-
UN: Itachukua miaka kadhaa kuliangamiza kikamilifu kundi la Boko Haram
May 10, 2018 02:26Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la magharibi mwa Afrika ametangaza kuwa, licha ya kuweko mafanikio katika kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram, lakini itachukua miaka kadhaa ili kuliangamiza kikamilifu kundi hilo.
-
Jeshi la Nigeria lawaokoa mateka 149 kutoka mikononi mwa Boko Haram
Apr 10, 2018 02:49Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewakomboa mateka 149 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Boko Haram wafanya shambulizi kaskazini mashariki mwa Nigeria watu 18 wauawa
Apr 02, 2018 14:29Duru za habari nchini Nigeria zimeripoti kwamba, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limefanya shambulizi katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.