-
Jeshi la Chad lapambana na magaidi wa Boko Haram
Mar 25, 2018 02:21Duru za kijeshi za Chad zimetangaza habari ya kutokea mapigano kati ya jeshi la nchi hiyo na magaidi wa Boko Haram katika eneo la Ziwa Chad.
-
Boko Haram yaua raia 10 katika shambulizi la kigaidi nchini Nigeria
Mar 08, 2018 01:41Habari kutoka Nigeria zimeripoti kwamba kwa akali raia 10 wameuawa na wanamgambo wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram katika mashambulizi matatu tofauti, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Magaidi wanne watiwa mbaroni katikati ya Somalia
Feb 08, 2018 03:59Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kutiwa mbaroni magaidi wanne wa genge la wakufurishaji la al Shabab, katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulio jipya la Boko Haram nchini Cameroon
Jan 11, 2018 15:56Duru za kiusalama nchini Cameroon zimetangaza habari ya kutokea shambulizi jipya la genge la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Ripoti: Marekani na Saudi Arabia zimewapa magaidi wa ISIS silaha
Dec 15, 2017 06:42Shirika moja la kimataifa limezilaumu tawala za Marekani na Saudi Arabia kuwa zimekuwa zikiwafikishia magaidi wa ISIS silaha kwa siri kupitia makundi ya wapinzania nchini Syria.
-
Boko Haram waua wanajeshi watatu kaskazini mashariki mwa Nigeria
Nov 27, 2017 15:03Duru za usalama za Nigeria zimetangaza habari ya kuuawa wanajeshi watatu katika shambulizi la kigaidi lililofanywa na kundi la Boko Haram katika mji wa Magumeri, wa jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Magaidi wa al Shabab wateka mji wa Rassadi kusini mwa Somalia
Nov 01, 2017 08:21Kundi la kigaidi la al Shabab limeuteka mji wa Rassadi ulioko kusini mwa Somalia baada ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika kuondoka katika eneo hilo.
-
Tunisia yasambaratisha genge jingine la kigaidi
Oct 19, 2017 14:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imetangaza kuwa, imesambaratisha genge moja la ukufurishaji lenye mfungamano na kundi la kigaidi linalojulikana kwa jina la Answar al Sharia.
-
Mauaji ya watu 276 katika shambulio la kigaidi nchini Somalia
Oct 16, 2017 02:35Mripuko wa lori lililotegwa bomu ndani yake uliua watu wasiopungua 276 mjini Mogadishu, Somalia siku ya Jumamosi jioni.
-
Kesi ya mamia ya magaidi wa Boko Haram yaanza kusikilizwa Nigeria
Oct 10, 2017 08:12Wizara ya Sheria ya Nigeria imetangaza habari ya kuanza kusikilizwa kesi ya wanachama zaidi ya elfu mbili wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika mahakama mbalimbali za nchi hiyo.