-
Serikali ya Niger yawaonya wafanyabiashara wanaoshirikiana na Boko Haram
Oct 01, 2017 03:56Viongozi wa Niger wamewaonya vikali wafanyabiashara ambao wanafanya biashara kwa siri na kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Watu watatu wauawa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria
Sep 28, 2017 15:33Maafisa wa Nigeria wameripoti kuwa watu watatu wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Shambulio la Boko Haram laua watu wanane kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 09, 2017 03:22Watu wasiopungua wanane wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Duru za Kizayuni zakiri kuwa Israel inayaunga mkono makundi ya kigaidi
Sep 03, 2017 02:28Utawala wa Kizayuni umekiri rasmi kuwa unawapatia misaada makundi yanayobeba silaha huko Syria na yale ya kigaidi yanayopigana dhidi ya serikali ya nchi hiyo. Uungaji mkono wa utawala huo kwa makundi hayo yanayobeba silaha ni wazi kuwa hauishii tu katika kuwapatia matibabu wanamgambo majeruhi katika hospitali za Israel.
-
Shambulio la kigaidi la Boko Haram laua raia wasiopungua sita kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 23, 2017 07:47Watu wasiopungua sita wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria
Aug 17, 2017 07:39Russia imetangaza kuwa Marekani na Uingereza zinakiuka sheria za kimataifa kwa kuwapatia silaha za kemikali magaidi huko Syria.
-
Magaidi waliohusika na mauaji ya Wakristo wa Kicopti nchini Misri, wauawa
Aug 11, 2017 04:15Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Misri imetangaza habari ya kuuawa magaidi watatu wanaodhaniwa kuhusika na shambulizi lililowalenga Wakristo wa Kicopti kusini mwa nchi hiyo.
-
Waingereza 150 wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wavuliwa uraia
Jul 30, 2017 15:13Serikali ya Uingereza imewavua uraia zaidi ya raia wake 150 kwa tuhuma za kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Magaidi wa Kikristo waua askari wa kulinda amani wa UN, CAR
Jul 26, 2017 07:52Kundi la kigaidi la Kikristo la Anti-Balaka limeua askari wawili wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati MINUSCA.
-
Iran: Tuhuma za Israel kwamba tunawapatia silaha magaidi wa Misri, ni kichekesho na urongo
Apr 13, 2017 16:57Ofisi ya kulinda maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Misri imesema kuwa, madai ya hivi karibuni ya baadhi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya Kiarabu kwamba Tehran inayaunga mkono magenge ya kigaidi katika eneo la Peninsula ya Sinai nchini Misri kwa kutegemea video ya kutiliwa shaka iliyotolewa na magaidi, ni kichekesho na uongo mkubwa.