-
Libya: Uturuki ndio inayounga mkono makundi ya kigaidi yanayofanya jinai Libya
Mar 20, 2017 03:02Msemaji wa wapiganaji wa serikali yenye makao yake huko mashariki mwa Libya ameiarifisha rasmi Uturuki kuwa ndio muungaji mkono mkubwa wa makundi ya kigaidi nchini humo.
-
Shambulio la kundi la kigaidi kwenye vituo vya mafuta nchini Libya
Mar 05, 2017 12:14Sambamba na kuendelea migogoro ya kisiasa na kutokuwepo usalama nchini Libya, kwa mara nyingine kundi moja la wabeba silaha limeweza kudhibiti kituo cha mafuta katika eneo linalojulikana kwa jina maarufu la 'Hilali ya Mafuta' kaskazini mashariki mwa Libya.
-
Kuungana makundi mawili yenye misimamo mikali huko Mali
Mar 05, 2017 02:18Makundi mawili kwa majina ya Ansaruddin na al Murabitun yameamua kuungana katika hatua mpya iliyochukuliwa na makundi yanayobeba silaha yenye makao yao huko Mali.
-
Maji yamfika shingoni Abubakar al-Baghdadi, ateua warithi wake
Jan 05, 2017 16:10Kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abubakr al-Baghdadi ameteua watu watatu ambao wanatazamiwa kuchukua nafasi yake.
-
Utawala wa Saudia na uenezaji ugaidi nje ya nchi
Dec 28, 2016 02:52Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kuwa maelfu ya raia wa nchi hiyo wanashiriki kwenye harakati za makundi ya kigaidi nje ya nchi hiyo. Mansour Turki, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia alitangaza siku ya Jumatatu kuwa zaidi ya raia elfu mbili wa nchi hiyo wamejiunga na makundi ya kigaidi. Turki amesisitiza kuwa sehemu hasa walipo akthari ya watu hao zimeshajulikana.
-
Syria: Jinai za magaidi zitakoma kwa kusimamishwa misaada wanayopata kutoka nje
Nov 11, 2016 08:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema jinai za makundi ya kigaidi dhidi ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo zitakoma pale tu utakapohitimishwa uungaji mkono na misaada kutoka nje inayotolewa kwa magaidi hao.
-
Iraq yanasa magaidi waliopanga kutekeleza mashambulizi wakati wa Muharram
Oct 03, 2016 04:00Wanachama wa kundi moja la kigaidi lililokuwa limepanga kufanya mashambulizi ya kigaidi katika mwezi wa Muharram wamekamatwa magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Wanachama wanne wa Daesh watiwa mbaroni Somalia
Sep 05, 2016 14:02Wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wametiwa mbaroni kusini mwa Somalia.
-
Magaidi waliotiwa nguvuni Iran wafichua kuhusu misaada wanayopatiwa na Saudia
Aug 30, 2016 14:39Mkuu wa Kamisheni ya Bunge ya Usalama wa Taifa na Sera za Nje amesema magaidi waliotiwa nguvuni hapa nchini wametoa taarifa zenye "thamani" kuhusu nafasi ya Saudi Arabia katika kuyasaidia na kuyaunga mkono makundi ya kigaidi.
-
Iran yamuua kiongozi wa kundi la kigaidi lenye uhusiano na Saudi Arabia
Aug 25, 2016 15:01Waziri wa Intelijinsia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kuuawa Abu Hafidh Balush Kinara wa kundi la kigaidi lenye mfungamano na Saudia.