-
KDF: Al-Shabaab inawasajili kwa nguvu vijana nchini Kenya
Aug 03, 2016 08:01Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF limesema kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab sasa linawalazimisha vijana kujiunga nalo, haswa katika maeneo ya Pwani ya nchi.
-
Russia: Marekani inawasaidia magaidi wanaoua watoto wa Palestina
Jul 24, 2016 02:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, ripoti zinaonesha kuwa, watu waliomchinja mtoto wa Kipalestina na kuonesha mkanda wa video wa kitendo cha kukata kichwa cha mtoto huyo katika mitandao ya kijamii wanasaidiwa na kuungwa mkono na Marekani.
-
Mwangwi wa shambulizi la kigaidi la Nice
Jul 15, 2016 16:10Shambulizi la kigaidi lililofanyika jana usiku katika mji wa pwani wa Nice nchini Ufaransa limeacha mwangwi mkubwa katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Makumi ya magaidi wakufurishaji waangamizwa Syria
Jul 13, 2016 04:37Makumi ya magaidi wakufurishaji wameangamizwa katika mashambulizi ya jeshi la serikali ya Syria kwa kushirikiana na wapiganaji wa muqawama katika mkoa wa Aleppo, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Alavi: Iran imewatia nguvuni magaidi 6
Jul 12, 2016 17:01Waziri wa Upelelezi wa Iran amesema kuwa vyombo vya upelelezi hapa nchini havitatoa mwanya kwa yeyote kuvuruga usalama wa Iran na wananchi wake.
-
Mtandao wa magidi wasambaratishwa A. Kusini
Jul 12, 2016 03:45Vyombo vya usalama nchini Afrika Kusini vimetangaza kuwa vimefanikiwa kuwatia nguvuni washukiwa wanne wa ugaidi katika operesheni maalumu iliyofanywa nchini humo.
-
Sepah yaua magaidi wa kundi linalopinga Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 25, 2016 15:15Kikosi cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limetangaza kuwa limeangamiza magaidi kadhaa wa kundi wa wapinzani wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mapigano yaliyotokea katika eneo la kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Jeshi la la Algeria laua na kukamata magaidi 12
Jun 19, 2016 14:41Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza habari ya kuuawa watu wanane wanaoaminika kuwa wanachama wa makundi ya kigaidi kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Algiers.
-
Makundi mawili ya kigaidi yatokomezwa kaskazini magharibi mwa Iran
Jun 16, 2016 15:30Vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Sepah vimeyasambaratisha na kuyatokomeza makundi mawili ya kigaidi huko kaskazini magharibi mwa nchi karibu na mpaka wa Iraq na kuwaangamiza magaidi kadhaa.
-
Libya: Hatuhitaji misaada ya nchi ajinabi kupambana na Daesh
Jun 15, 2016 15:34Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amesema kuwa nchi hiyo haihitaji misaada ya nchi ajinabi kwa ajili ya kuendesha vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.