-
Mahakama ya Misri yawahukumu kifo watu 28 kwa tuhuma ya kumuua Mwanasheria Mkuu
Jul 22, 2017 16:53Mahakama ya Jinai ya Cairo nchini Misri imewahukumu kifo watu 28 kati ya 67 wanaotuhumiwa kumuua aliyekuwa mwanasheria mkuu wa nchi hiyo.
-
Kuua wapinzani, silaha ya kisiasa inayotumiwa kwa ajili ya malengo ya kimadhehebu Saudi Arabia
Jul 20, 2017 07:39Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekutaja kuua raia kuwa ni silaha ya kisiasa inayotumiwa na utawala wa Saudi Arabia kwa ajili ya kuwanyamazisha wapinzani wake.
-
Kuendelea kunyongwa wapinzani nchini Saudi Arabia
Jul 13, 2017 11:33Katika kuendelea ukiukaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia, utawala wa Aal Saud umewanyonga raia wanne wa nchi hiyo wa mji wa Qatif.
-
Wanachama saba wa ash-Shabab watiwa kitanzi nchini Somalia
Jul 01, 2017 13:16Viongozi wa kijeshi katika eneo la Puntland, kaskazini mwa Somalia, wamewanyonga wanachama saba wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab.
-
Saudia kuwanyonga Mashia 14 kwa kushiriki maandamano, HRW yalaani
Jun 07, 2017 07:13Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema utawala wa Aal-Saud umepanga kuwanyonga wanaharakati 14 wa Kishia eti kwa kosa la kushiriki maandamano.
-
Wanaharakati 14 wahukumiwa kifo kwa kuandamana Saudia
May 26, 2017 14:13Mahakama moja nchini Saudi Arabia imewahukumu adhabu ya kifo wanaharakati 14 kwa kushiriki maandamano katika eneo la Qatif.
-
Jumatano, Februari 15, 2017
Feb 15, 2017 01:28Leo ni Jumatano 17 Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Februari 15, 2017.
-
Amnesty yaitaka Bahrain iache kuwanyonga wafungwa wa kisiasa
Jan 20, 2017 07:36Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Bahrain inaelekea kutumbukia katika mgogoro wa haki za binaadamu na inapaswa kusitisha mara moja hukumu ya kunyongwa wafungwa wengine wawili wa kisiasa nchini huo.
-
Iran yalaani mauaji ya wanaharakati Bahrain, upinzani waitisha maandamano nchi nzima
Jan 16, 2017 03:52Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.
-
Saudia yawahukumu kifo wafungwa 15 wa kisiasa kwa tuhuma ya kufanya ujasusi
Dec 07, 2016 16:28Mahakama maalumu ya Riyadh nchini Saudi Arabia imeendelea kutoa hukumu ya kifo dhidi ya wafungwa wa kisiasa kwa kuwakatia adhabu ya kifo watu 15 kwa tuhuma zisizo na msingi wowote eti za kufanya ujasusi kwa maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.