-
Ijumaa, tarehe 24 Oktoba, 2025
Oct 24, 2025 02:53Leo ni Ijumaa tarehe Pili Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na tarehe 24 Oktoba 2025.
-
Korea Kaskazini: Hatutasalimisha silaha zetu za nyuklia
Sep 10, 2022 02:20Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kamwe Pyongyang haitasalimisha silaha zake za nyuklia au kutumia suala la kuharibu silaha hizo za maangamizi kujadiliana na Marekani.
-
Israel na Marekani vizuizi vikuu vya kuwepo Mashariki ya Kati isiyo na silaha za maangamizi ya umati
Dec 03, 2021 12:59Fikra ya kuwepo Mashariki ya Kati isiyo na silaha za mauaji ya halaiki ilitolewa miaka kadhaa iliyopita lakini hadi sasa fikra hiyo haijatekelezwa kivitendo.
-
Iran yakosoa undumakuwili wa Uingereza, yataka silaha zote za nyuklia ziharibiwe
Mar 17, 2021 06:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali undumakuwili wa Uingereza; ambayo kwa upande mmoja inatoa madai yasiyo na msingi dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na kwa upande mwingine, inasema kuwa inataka kuongeza akiba ya silaha zake za nyuklia.
-
Ombi la Rais wa Ufaransa la kuangamizwa silaha za nyuklia
Feb 08, 2020 07:32Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, jana Ijumaa alitangaza uamuzi wa nchi yake wa kupunguza idadi ya silaha zake za nyuklia hadi chini ya vichwa 300 vya nyuklia.
-
Zarif: Iran inapinga silaha za nyuklia kwa kuwa zimeharamishwa na Uislamu
Oct 13, 2019 08:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali silaha za nyuklia kwa kuwa matumizi yake yameharamishwa na sheria za Uislamu.
-
Zarif: Israel, mwana kilizi, ndiye mmiliki halisi wa silaha za nyuklia
Sep 10, 2019 07:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, aliyedai kuwa ana ushahidi mpya unaoonesha kuwa Tehran inaunda kwa siri silaha za nyuklia; ambapo amesema kauli hiyo ya kichochezi ya Benjamin Netanyahu inalenga kufanikisha ajenda ya vita ya utawala huo haramu.
-
SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
-
Udharura wa kulazimishwa Israel kujiunga na mkataba wa nyuklia wa NPT
Sep 22, 2018 07:28Katika Mkutano Mkuu la 62 la Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, kumesisitiziwa wajibu na udharura wa kulazimishwa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia, NPT.
-
Korea Kusini: Ni vigumu kufikiwa natija katika mazungumzo ya leo ya Pyongyang juu ya silaha za nyuklia
Sep 18, 2018 04:26Afisa wa ngazi ya juu katika serikali ya Korea Kusini amekiri kwamba kuna nafasi ndogo sana ya kufikiwa maendeleo katika mazungumzo ya leo kati ya viongozi wa Korea mbili mjini Pyongyang, kuhusiana na kadhia ya kuangamizwa silaha za nyuklia katika Rasi ya Korea.