-
Jumamosi, 17 Januari, 2026
Jan 16, 2026 23:00Leo ni Jumamosi 27 Rajab 1447 Hijria sawa na 17 Januari 2026 Miladia.
-
Ijumaa, 19 Septemba, 2025
Sep 18, 2025 23:01Leo ni Ijumaa tarehe 26 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 19, 2025 Miladia.
-
Jumamosi, 19 Julai, 2025
Jul 18, 2025 23:34Leo ni Jumamosi 23 Mfunguo Nne Muharram 1447 Hijria sawa na 19 Julai 2025 Miladia.
-
"Saudia, UAE, Qatar, Kuwait zapiga marufuku ndege za US kufanya mashambulio"
Apr 02, 2025 23:04Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya ndege au anga zao kufanya mashambulizi dhidi ya Yemen.
-
Ijumaa, Januari 17, 2025
Jan 16, 2025 23:24Leo ni Ijumaa tarehe 16 Rajab 1446 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2025 Milaadia.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lataka kukomeshwa vita dhidi ya Gaza
Dec 02, 2024 03:36Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetoa mwito wa kusitishwa mara moja uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kuwait yakanusha uvumi wa kuupelekea silaha utawala wa Kizayuni
Oct 21, 2024 23:52Makao Makuu ya jeshi la Kuwait yamekanusha uvumi kwamba yanahamisha silaha kutoka kambi za kijeshi ndani ya nchi hiyo na kuupelekea utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Abbas Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani
Sep 22, 2024 03:50Abbas Araghchi, Waziri Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ikiwa mmoja wa wahanga wakuu wa vikwazo vya Marekani, inaelewa kikamilifu hali ya watu wa Cuba, hivyo inaiunga mkono nchi hiyo dhidi ya vikwazo vya nchi hiyo ya Magharibi.
-
Ijumaa, tarehe 19 Julai, 2024
Jul 19, 2024 00:07Leo ni Ijumaa tarehe 13 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Julai 2024.
-
Jumatano tarehe 19 Juni, 2024
Jun 18, 2024 22:41Leo ni Jumatano tarehe 12 Dhulhija 1445 Hijria sawa na tarehe 19 Juni 2024.