-
Erdogan: Safari ya Macron nchini Lebanon ilikuwa na malengo ya kikoloni
Aug 14, 2020 06:32Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ana malengo ya kikoloni nchini Lebanon na kwamba safari yake ya siku chache zilizopita mjini Beirut ilifanyika kwa shabaha ya kutunisha misuli.
-
Bunge la Lebanon laidhinisha sheria ya Hali ya Hatari Beirut, lalipa jeshi mamlaka maalumu
Aug 13, 2020 09:28Bunge la Lebanon limeidhinisha utekelezaji wa sheria ya hali ya hatari katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut kufuatia tukio la mripuko katika bandari ya Beirut uliosababisha hasara kubwa ya mali na roho za watu.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu
Aug 10, 2020 23:07Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diyab amejiuzulu. Diyab amechukua uamuzi huo kufuatia mripuko uliotokea hivi karibuni katika bandari ya Beirut na kutokana na mashinikizo ambayo yameendelea kuiandama serikali ya nchi hiyo.
-
Mawaziri wanne na wabunge tisa wa Lebanon wajiuzulu
Aug 10, 2020 10:24Mawaziri wanne na wabunge tisa wa Lebanon wamejiuzulu nyadhifa zao kufuatia mlipuko mkubwa ulioikumba nchi hiyo wiki iliyopita.
-
Uungaji mkono wa wazi wa Marekani kwa hatua za uharibifu nchini Lebanon
Aug 10, 2020 01:58Marekani imeshadidisha hatua na mwenendo wake wa uingiliaji masuala ya ndani ya Lebanon kwa shabaha ya kudhoofisha mhimili wa muqawama na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah.
-
Msimamo wa Sayyid Nasrullah kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut
Aug 08, 2020 10:16Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah jana usiku alizungumzia mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut akisisitiza udharura wa kutambuliwa wahusika wake na kukaribisha misaada ya nchi za kigeni kwa Lebanon.
-
WFP kutoa misaada kwa Lebanon baada ya kuathiriwa na mlipuko wa Beirut
Aug 07, 2020 23:55Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetangaza kuwa umeamua kuisadia Lebanon kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut.
-
Mfuko wa Fedha wa Kimataifa wataka jamii ya kimataifa iisaidie Lebanon
Aug 07, 2020 03:44Mkurugenzi Mwandamizi wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF jana Alkhamisi alitoa taarifa akiitaka jamii ya kimataifa na nchi rafiki za Lebanon ziisaidie nchi hiyo kupunguza hasara iliyotokana na mlipuko mkubwa uliotokea siku ya Jumanne alasiri katika bandari ya Beirut.
-
Malengo ya safari ya Macron mjini Beirut
Aug 07, 2020 02:24Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, siku mbili tu baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliosababisha maafa na hasara kubwa katika mji huo.
-
Meja Jenerali Salami: Taifa la Iran halitaacha kulisaidia taifa la Lebanon katika hali ngumu ya hivi sasa
Aug 06, 2020 05:37Meja Jenerali Hussein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitaliacha mkono taifa la Lebanon katika hali ngumu ya hivi sasa.