Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha

    UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha

    Nov 10, 2019 07:31

    Rasimu ya ripoti ya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sudan na Jordan zimekiuka vikwazo vya silaha vya umoja huo kwa kulipa silaha kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.

  • Imarati yatuhumiwa kuhusika na shambulizi la anga lililoua wahajiri 53 Libya

    Imarati yatuhumiwa kuhusika na shambulizi la anga lililoua wahajiri 53 Libya

    Nov 07, 2019 01:13

    Nyaraka za siri za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa, ndege ya kivita ya nchi ajinabi ndiyo iliyotekeleza shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli na kuua makumi miongoni mwao.

  • Wahajiri haramu 148 waokolewa katika pwani ya Libya

    Wahajiri haramu 148 waokolewa katika pwani ya Libya

    Oct 21, 2019 02:38

    Gadi ya ulinzi wa pwani ya Libya imefanikiwa kuwaokoa wahajiri haramu 148 waliokuwa hatarini kuzama katika maji ya pwani ya nchi hiyo.

  • Libya yahamishia nchini Misri wahamiaji haramu 95

    Libya yahamishia nchini Misri wahamiaji haramu 95

    Oct 18, 2019 03:25

    Serikali ya Libya imewahamishia nchini Misri makumi ya wahamiaji haramu wanaodaiwa kuwa na magonjwa ya kuambukiza.

  • UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya

    UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya

    Oct 12, 2019 07:57

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya kufikia sasa.

  • Musa Ibrahim: Libya imeharibiwa kwa lengo la kupora tena utajiri wa Afrika

    Musa Ibrahim: Libya imeharibiwa kwa lengo la kupora tena utajiri wa Afrika

    Oct 08, 2019 04:38

    Msemaji wa zamani wa utawala wa Libya amesema kuwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) umevamia na kuibomoa Libya lengo lake likiwa ni kuendelea kupora utajiri wa Afrika.

  • Wapiganaji wawili wa Jenerali Haftar wauawa karibu na mji mkuu wa Libya

    Wapiganaji wawili wa Jenerali Haftar wauawa karibu na mji mkuu wa Libya

    Oct 02, 2019 10:51

    Wapiganaji wawili wa jenerali muasi Khalifa Haftar wameuawa katika mapigano na wanajeshi wa serikali ya Umoja wa Kitaifa inayotambuliwa kimataifa, karibu na mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Gadi ya pwani ya Libya yaokoa makumi ya wahajiri

    Gadi ya pwani ya Libya yaokoa makumi ya wahajiri

    Sep 30, 2019 02:36

    Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza kuwaokoa wahajiri haramu wapatao 70 baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterania.

  • Haftar atangaza kuwa tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya

    Haftar atangaza kuwa tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya

    Sep 27, 2019 12:23

    Jenerali Khalifa Haftar, kamanda wa jeshi la kitaifa la Libya ametangaza kuwa, yuko tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Raia wanane wa Russia wauawa nchini Libya

    Raia wanane wa Russia wauawa nchini Libya

    Sep 27, 2019 06:52

    Wanajeshi wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya wamesema kuwa, shambulio la anga lililofanywa na wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar huko kusini mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya, limeua raia wanane wa Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS