-
Al Sarraj ataka kukomeshwa uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya
Sep 27, 2019 02:38Waziri Mkuu na Mkuu wa baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka kusitishwa uingiliaji wa Imarati, Misri na Ufaransa katika masuala ya ndani ya nchi yake.
-
Droni ya Imarati yashambulia Tripoli, watu kadhaa wa familia moja wajeruhiwa vibaya
Sep 23, 2019 02:43Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa droni ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeshambulia eneo moja la makazi ya raia katika mji mkuu wa Libya Tripoli.
-
Watu 18 wauawa katika mapigano baina ya vikosi vya Haftar na serikali, Libya
Sep 22, 2019 03:01Kwa akali watu 18 wameuawa katika makabiliano makali baina ya vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya vinavyoongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar na vile vya serikali ya mwafaka wa kitaifa kusini mwa mji mkuu, Tripoli.
-
Kundi la Jenerali Haftar laua askari 14 wa serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya
Sep 20, 2019 14:54Askari 14 wa vikosi vya serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya wameuliwa katika mashambulio ya anga yaliyofanywa na vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya vinavyoongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.
-
Makamanda wa Haftar wauawa karibu na Tripoli, Libya
Sep 14, 2019 11:27Wapiganaji watatu wa 'Jeshi la Kitaifa la Libya' wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wameuawa na wanajeshi wa Serikali ya Mapatano ya Kitaifa Libya inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa karibu na mji mkuu Tripoli.
-
Rwanda kuwapokea mamia ya wakimbizi waliokwama Libya
Sep 11, 2019 07:01Serikali ya Rwanda imekubali kuwapokea mamia ya wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi waliokwama nchini Libya.
-
Vikosi vya Haftar: Hatutaki mazungumzo, mapigano ndiyo njia bora ya suluhu
Sep 08, 2019 12:10Wapiganaji wa jenerali mstaafu wa Libya, Khalifa Haftar wamepinga mwito wa Umoja wa Mataifa wa kurejea katika meza ya mazungumzo, wakisisitiza kuwa vita ndiyo njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro unaoikabili nchi hiyo.
-
Baraza la Usalama UN lataka utatuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya
Sep 06, 2019 02:27Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesema kuwa wanchama wa baraza hilo wanasisitiza udharura wa kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi nchini Libya
Sep 04, 2019 07:56Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi nchini Libya.
-
UN yatahadharisha kuhusu hatari ya kutokea vita vikubwa vya ndani nchini Libya
Aug 30, 2019 13:22Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea kusikitishwa sana na hali inavyoendelea hivi sasa nchini Libya na kutahadharisha kuhusu hatari ya kutokea vita vikubwa vya ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika.