Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • UN yatoa mwito wa kusitishwa mapigano kwa muda nchini Libya

    UN yatoa mwito wa kusitishwa mapigano kwa muda nchini Libya

    May 06, 2019 11:10

    Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL kimezitaka pande husika kusitisha mapigano kwa muda wa wiki moja kuanzia leo Jumatatu, katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Karibu watu 400 wauawa katika mapigano nchini Libya

    Karibu watu 400 wauawa katika mapigano nchini Libya

    May 04, 2019 08:14

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa, karibu watu 400 wameshauawa katika mapigano nchini Libya.

  • Kuendelea vita nchini Libya; kuzidi kuwa mbaya hali ya mambo katika mji mkuu Tripoli

    Kuendelea vita nchini Libya; kuzidi kuwa mbaya hali ya mambo katika mji mkuu Tripoli

    May 01, 2019 02:31

    Kuendelea vita na mapigano katika mji mkuu wa Libya Tripoli kumeifanya hali ya kibinadamu katika mji huo izidi kuwa mbaya siku baada ya siku.

  • Qatar yawalaumu viongozi wa nchi za Kiarabu kwa siasa za kinafiki

    Qatar yawalaumu viongozi wa nchi za Kiarabu kwa siasa za kinafiki

    Apr 30, 2019 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amelaani mashambulizi yanayofanywa dhidi ya maeneo ya raia katika mji mkuu wa Libya Tripoli na kusisitiza kuwa, unafiki wa kisiasa na undumilakuwili ni mambo ambayo yameuchosha ulimwengu wa Kiarabu na ndiyo yanayochochea vitendo vya kigaidi.

  • Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kuharibika kwa hali ya kibinadamu Libya

    Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kuharibika kwa hali ya kibinadamu Libya

    Apr 29, 2019 13:58

    Naibu Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameelezea wasiwasi wake kuhusiana na kuendelea kuharibika kwa hali ya nchi hiyo na kusema kuwa huenda hali ya kibinadamu katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, ikaharibika zaidi.

  • Ndege za kivita za kigeni zimehusika katika mashambulio ya Tripoli

    Ndege za kivita za kigeni zimehusika katika mashambulio ya Tripoli

    Apr 29, 2019 06:21

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa ndege za kigeni zilishiriki katika mashambulio ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.

  • Serikali ya Libya yaulalamikia Umoja wa Mataifa kwa kuruhusu mashambulizi ya Jenerali Haftar

    Serikali ya Libya yaulalamikia Umoja wa Mataifa kwa kuruhusu mashambulizi ya Jenerali Haftar

    Apr 28, 2019 16:12

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imeulaumu Umoja wa Mataifa kwa kunyamazia kimya mashambulizi yanayofanywa na wapiganaji wa Jenerali Khalifa Haftar katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.

  • Watu 39,000 wakimbia makazi yao kufuatia mapigano Tripoli, Libya

    Watu 39,000 wakimbia makazi yao kufuatia mapigano Tripoli, Libya

    Apr 28, 2019 01:14

    Kufuatia kushadidi mapigano katika mji mkuu wa Libya, Tripoli, watu 39,000 wameripotiwa kukimbia makazi yao katika mji huo.

  • Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Apr 27, 2019 12:58

    Raia wa Libya wamefanya maandamano katika medani kuu ya mji wa Tripoli wakiwa wamevalia vizibao vya njano kama wanavyofanya washiriki wa maandamano ya vizibao vya njazo kupinga siasa za kiuchumi za serikali ya Ufaransa, ambapo nao wamelaani mienendo hasi ya serikali ya Paris dhidi ya nchi yao.

  • Mufti Mkuu wa Libya: Hakuna eneo lililosalimika na ufisadi wa watawala wa Saudi Arabia

    Mufti Mkuu wa Libya: Hakuna eneo lililosalimika na ufisadi wa watawala wa Saudi Arabia

    Apr 27, 2019 02:41

    Mufti Mkuu wa Libya Sheikh Sadiq Al-Ghariani amesema kuwa, hakuna eneo lolote duniani ambalo limesalimika na ufisadi wa watawala wa Aal Saudi wa Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS