Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Seif al Islam Gaddafi akutana na viongozi wa ngazi za juu wa Imarati na Misri

    Seif al Islam Gaddafi akutana na viongozi wa ngazi za juu wa Imarati na Misri

    Sep 17, 2018 15:27

    Baadhi ya duru za ngazi za juu za Libya na Misri zimetangaza kuwa, Seif al Islam, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, amekutana na viongozi wawili wakubwa wa Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri.

  • Wakazi wa mji mkuu wa Libya, Tripoli walalamikia hali mbaya ya usalama

    Wakazi wa mji mkuu wa Libya, Tripoli walalamikia hali mbaya ya usalama

    Sep 17, 2018 04:04

    Wakazi wa mji mkuu wa Libya, Tripoli jana walifanya maandamano wakilalamikia hali mbaya ya usalama katika mji huo mkuu na kutaka kuboreshwa hali ya maisha nchini humo.

  • Sheria ya kura ya maoni kuhusu katiba ya Libya yapasishwa

    Sheria ya kura ya maoni kuhusu katiba ya Libya yapasishwa

    Sep 14, 2018 15:27

    Bunge la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi limefanya kikao cha dharura na kupasisha suala la kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba ya nchi hiyo.

  • Mpango wa kundi la amani la Libya wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo

    Mpango wa kundi la amani la Libya wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo

    Sep 13, 2018 14:13

    Mkuu wa kundi la amani la Libya amesema kuwa kumependekezwa mpango mpya wa kitaifa kwa ajili ya kurejesha amani nchini humo.

  • Sarraj: Uchaguzi hauwezi kufanyika Libya katika mazingira ya sasa

    Sarraj: Uchaguzi hauwezi kufanyika Libya katika mazingira ya sasa

    Sep 12, 2018 14:10

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema ni muhali kufanyika uchaguzi nchini humo katika mazingira ya hivi sasa.

  • Uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya walengwa kwa kombora

    Uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya walengwa kwa kombora

    Sep 12, 2018 07:39

    Duru za habari leo asubuhi zimeripoti kuwa uwanja wa ndege wa Tripoli mji mkuu wa Libya umeshambuliwa kwa kombora.

  • Mamia ya wahajiri wafariki dunia karibu na pwani za Libya

    Mamia ya wahajiri wafariki dunia karibu na pwani za Libya

    Sep 11, 2018 07:32

    Zaidi ya wahajiri 100 kutoka nchi za Afrika wamefariki dunia katika kipindi cha siku chache zilizopita baada ya boti zao kuzama katika maji ya bahari ya Mediterania karibu na pwani za Libya.

  • Watu wenye silaha washambulia makao makuu ya Shirika la Mafuta la Libya

    Watu wenye silaha washambulia makao makuu ya Shirika la Mafuta la Libya

    Sep 10, 2018 14:41

    Watu kadhaa waliokuwa na silaha leo Jumatatu wameyashambulia makao makuu ya Shirika la Taifa la Mafuta la Libya (NOC) huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo. Watu walioshuhudia wamesema kuwa, sauti za milipuko zilisika kabla ya watu waliojeruhiwa kutolewa katika jengo la shirika hilo kwa kutumia magari ya ambulansi.

  • Kamanda wa Jeshi la Libya adai, jeshi la Algeria limeivamia Libya

    Kamanda wa Jeshi la Libya adai, jeshi la Algeria limeivamia Libya

    Sep 09, 2018 16:03

    Kamanda wa jeshi la taifa la Libya amedai kuwa Algeria imeingiza wanajeshi wake katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Makundi hasimu Libya yafikia makubaliano ya kusimamisha vita mjini Tripoli

    Makundi hasimu Libya yafikia makubaliano ya kusimamisha vita mjini Tripoli

    Sep 05, 2018 02:59

    Kamati ya Umoja wa Mataifa ya kusimamia masuala ya Libya jana jioni ilitangaza habari ya kufikiwa makubaliano ya kusimamisha vita baina ya makundi yenye silaha mjini Tripoli.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS