-
'Watumwa' wananyofolewa viungo vya mwili Libya
Dec 04, 2017 03:11Imebainika kuwa, baadhi ya raia wa Kiafrika wanaopigwa mnada katika magendo ya binadamu nchini Libya wananyofolewa viungo vyao vya mwili na kuuzwa.
-
UN yasisitiza kufanyika uchaguzi mkuu nchini Libya mwaka ujao wa 2018
Dec 03, 2017 07:04Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema Walibya watafanya uchaguzi mwaka ujao wa 2018 kwa kutumia kipindi ambapo kiwango cha uingiliaji wa nchi jirani katika masuala ya nchi hiyo kitafikia kiwango cha chini zaidi.
-
Mwito wa Libya wa kuondolewa vikwazo vya silaha
Dec 02, 2017 04:12Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka nchi yake iondolewe vikwazo vya silaha vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011.
-
Macron aitaka Saudia iache kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi
Nov 30, 2017 16:19Rais wa Ufaransa amesema kuwa Saudi Arabia inapasa kuacha kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Baraza la Usalama lataka kukomeshwa magendo ya binadamu Afrika
Nov 29, 2017 16:26Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kuendeshwa vita dhidi ya magendo ya binadamu na biashara ya utumwa katika bara la Afrika.
-
Serikali ya Libya kufanya uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa
Nov 24, 2017 07:03Serikali ya Libya yenye makao yake mjini Tripoli na ambayo inatambuliwa na jamii ya kimataifa imetangaza kuwa, itafanya uchunguzi kuhusiana na taarifa za kuweko biashara ya utumwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Rwanda kupokea maelfu ya wahamiaji waliokwama Libya + Sauti
Nov 24, 2017 06:06Serikali ya Rwanda imesema kuwa iko tayari kupokea wahamiaji zaidi ya 30,000 wa Kiafrika waliokwama nchini Libya na ambao wanapigwa mnada sokoni na kuuzwa kama bidhaa.
-
Interpol yawatia nguvuni watu 40 kwa kufanya magendo ya binadamu Libya
Nov 24, 2017 04:33Watu wasiopungua 40 wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kufanya magendo ya binadamu katika eneo la magharibi mwa Afrika baada ya kusambaa mkanda wa video unaoonesha wakimbizi wa Kiafrika wakipigwa mnada na kuuzwa kama bidhaa nchini Libya.
-
Rais wa Ufaransa alalamikia utumwa nchini Libya
Nov 23, 2017 07:12Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesisitizia udharura wa kung'olewa kikamilifu magenge ya magendo ya binadamu nchini Libya.
-
Congo DR, Burkina Faso zawaita nyumbani mabalozi wao Libya kupinga biashara ya utumwa
Nov 23, 2017 03:28Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burkina Faso ziimewaita nyumbani mabalozi wao nchini Libya kupinga biashara ya utumwa na kuuzwa wahajiri wa Kiafrika nchini humo.