-
Umoja wa Afrika waanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa nchini Libya
Nov 22, 2017 07:58Umoja wa Afrikka umetangaza kuwa, unaanzisha uchunguzi kuhusiana na ripoti ziliozenea kwamba, wahajiri wa Kiafrika nchini Libya wamekuwa wakiuzwa na kununuliwa kama bidhaa.
-
Hali mbaya ya wahajiri wa Afrika nchini Libya
Nov 20, 2017 11:23Sambamba na kuendelea hali mbaya ya wakimbizi na wahajiri wa Kiafrika nchini Libya, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutuhumu Umoja wa Ulaya kwamba, unapuuza hali mbaya wanayokabiliwa nayo wahajiri wa Kiafrika.
-
Libya yaanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa
Nov 20, 2017 02:48Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa wameanzisha uchunguzi kuhusu suala la kushikiliwa na kuuzwa wahajiri kama watumwa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
AU yasema Libya imegeuzwa kuwa kitovu cha soko la utumwa duniani
Nov 18, 2017 07:29Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU ametoa mwito kwa vyombo vya dola nchini Libya kuanzisha uchunguzi juu ya ripoti zinazosema kuwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ni kitovu cha biashara ya utumwa.
-
Ijumaa, Novemba 17, 2017
Nov 17, 2017 02:43Leo ni Ijumaa tarehe 28 Mfunguo Tano Safar 1439 Hijria, sawa na Novemba 17, 2017.
-
Benki Kuu ya Libya: Hali ya uchumi wa nchi ni mbaya
Nov 16, 2017 04:21Gavana wa Benki Kuu ya Libya ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kiuchumi inayoikabili nchi hiyo.
-
UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu
Nov 15, 2017 07:23Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.
-
Mamia ya viwiliwili vya magaidi wa ISIS vimehifadhiwa katika vyumba vya maiti Libya
Nov 14, 2017 07:26Libya imetangaza habari ya kuhifadhiwa mamia ya viwiliwili vya magaidi wa Daesh katika mji wa Misrata tangu mwaka mmoja uliopita.
-
UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger
Nov 12, 2017 14:12Umoja wa Mataifa umeanza zoezi la kuwahamisha wakimbizi wa nchi za Afrika walioko Libya na kuwapeleka nchini Niger.
-
ICC yatahadharisha kuhusu uhalifu dhidi ya wahamiaji Libya
Nov 09, 2017 04:15Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, imeonya kuwa itachukua hatua kuhusu wanaotenda uhalifu dhidi ya wahamiaji waliofungwa au kusafirishwa kwa njia haramu kupitia Libya.