Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Wasiwasi wa Shirika la Uhamiaji la UN kuhusu hali ya mambo ya mji wa Sabratha Libya

    Wasiwasi wa Shirika la Uhamiaji la UN kuhusu hali ya mambo ya mji wa Sabratha Libya

    Oct 09, 2017 11:17

    Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) limebainisha wasiwasi wake kuhusu athari za mapigano yaliyoukumba mji wa Sabrata Libya na namna hali hiyo inavyowaathiri wahajiri katika eneo hilo.

  • Wahajiri zaidi ya elfu 3 wakamatwa Libya

    Wahajiri zaidi ya elfu 3 wakamatwa Libya

    Oct 08, 2017 10:47

    Serikali ya Libya imewatia mbaroni maelfu ya wahajiri haramu katika mji wa Sabratha, kaskazini magharibi mwa nchi, ikiwa ni katika jitihada za kupambana na magendo ya binadamu.

  • Libya yakosoa matamshi ya dhihaka ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza

    Libya yakosoa matamshi ya dhihaka ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza

    Oct 06, 2017 05:00

    Serikali ya Libya imemuita balozi wa Uingereza mjini Tripoli na kumtaka atoe maelezo kuhusu matamshi ya dhihaka yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuhusu Libya.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa UK akosolewa kwa matamshi yake ya kuudhi kuhusu Libya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa UK akosolewa kwa matamshi yake ya kuudhi kuhusu Libya

    Oct 04, 2017 12:28

    Boris Johnson Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza jana alitoa matamshi ya dhihaka na ya maudhi pambizoni mwa mkutano wa chama cha kihafidhina cha nchini Uingereza uliokuwa ukifanyika katika mji wa Manchester nchini humo.

  • Makaburi 4 ya umati yagunduliwa Benghazi, Libya

    Makaburi 4 ya umati yagunduliwa Benghazi, Libya

    Oct 02, 2017 02:59

    Maafisa wa polisi ya mji wa Benghazi huko kaskazini mwa Libya wamegundua makaburi manne ya umati katika eneo la kale la mji huo.

  • Libya yajibu mapigo, kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Libya yajibu mapigo, kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Sep 28, 2017 10:58

    Serikali ya Libya yenye makao makuu yake mashariki mwa nchi, imesema haitaruhusu raia wa Marekani kuingia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, ikiwa ni radiamali kwa hatua ya Washington kuwapiga marufuku Walibya kuingia Marekani.

  • Mazungumzo ya makundi hasimu ya Libya yanaendelea Tunisia

    Mazungumzo ya makundi hasimu ya Libya yanaendelea Tunisia

    Sep 27, 2017 06:28

    Mazungumzo baina ya makundi hasimu nchini Libya yaliyoanza jana Jumanne katika nchi jirani ya Tunisia yanaendelea chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kukomesha mgogoro wa miaka sita wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • UN: Wafuasi wa Gaddafi wanaweza kushiriki katika siasa za Libya

    UN: Wafuasi wa Gaddafi wanaweza kushiriki katika siasa za Libya

    Sep 23, 2017 12:02

    Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro wa Libya amesema kuwa, makundi yote ya nchi hiyo wakiwemo wafuasi wa dikteta wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi wanaweza kushiriki katika mwenendo wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • 19 wauawa katika mapigano kwenye mpaka wa Sudan na Libya

    19 wauawa katika mapigano kwenye mpaka wa Sudan na Libya

    Sep 23, 2017 01:04

    Habari kutoka nchini Sudan zinasema kuwa, watu 19 wameuawa katika mapigano yaliyotokea kwenye maeneo ya mpaka wa nchi hiyo na Libya.

  • UN: Karibuni Walibya watashiriki kura ya maoni kuhusiana na katiba ya nchi yao

    UN: Karibuni Walibya watashiriki kura ya maoni kuhusiana na katiba ya nchi yao

    Sep 22, 2017 01:11

    Ghassan Salamé, Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutatuliwa mgogoro wa Libya ameelezea juhudi za umoja huo kwa ajili ya kutatuliwa matatizo ya nchi hiyo na kuongeza kuwa, hivi karibuni kutafanyika kura ya maoni ambayo itasaidia kumaliza matatizo hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS