Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Jeshi la wanamaji Libya: Tumeokoa zaidi ya wahajiri 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja

    Jeshi la wanamaji Libya: Tumeokoa zaidi ya wahajiri 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja

    Sep 18, 2017 07:22

    Msemaji wa kikosi cha jeshi la wanamaji nchini Libya amesema kuwa, askari wa gadi ya pwani ya nchi hiyo wamefanikiwa kuokoa zaidi ya wahajiri haramu 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja katika bahari ya Mediterranean.

  • Mapigano yapamba moto kaskazini magharibi mwa Libya

    Mapigano yapamba moto kaskazini magharibi mwa Libya

    Sep 18, 2017 04:01

    Mapigano makali yamepamba moto kati ya makundi hasimu katika mji wa Misrata wa kaskazini magharibi mwa Libya. Mtu mmoja ameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa.

  • Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC ataka kutiwa mbaroni kamanda wa Libya

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC ataka kutiwa mbaroni kamanda wa Libya

    Sep 14, 2017 07:54

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) amekariri wito wake wa kutiwa mbaroni haraka iwezekanavyo kamanda wa ngazi ya juu huko Libya anayesakwa kwa jinai za kivita. Kamanda huyo anatuhumiwa kuwaua watu wengi.

  • Ukosoaji wa mjumbe wa UN kwa kuwepo mkururo wa mipango kadhaa ya kutatua mgogoro wa Libya

    Ukosoaji wa mjumbe wa UN kwa kuwepo mkururo wa mipango kadhaa ya kutatua mgogoro wa Libya

    Sep 10, 2017 02:31

    Huku mgogoro na hali isiyoridhisha ikiendelea kutawala nchini Libya, mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kupendekezwa mipango kadhaa tofauti kwa ajili ya kutatua mgogoro huo kunawakanganya wananchi wa nchi hiyo.

  • Juhudi za kuunda serikali mpya Libya zinaendelea

    Juhudi za kuunda serikali mpya Libya zinaendelea

    Sep 08, 2017 04:19

    Baadhi ya vyombo vya habari vimetangaza kuwa, Khalifa Haftar, mkuu wa jeshi la Libya karibuni hivi ataunda serikali mpya nchini humo.

  • Viwiliwili vya wahajiri 16 vyapatikani jangwani mashariki mwa Libya

    Viwiliwili vya wahajiri 16 vyapatikani jangwani mashariki mwa Libya

    Sep 06, 2017 07:10

    Vikosi vya usalama nchini Libya vimetangaza habari ya kupatikana miili 16 ya wahajiri katika eneo la jangwani, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Misri.

  • Wahajiri haramu 300 waokolewa katika pwani ya Libya

    Wahajiri haramu 300 waokolewa katika pwani ya Libya

    Aug 29, 2017 14:59

    Kikosi cha gadi ya pwani ya Libya kimewaokoa wahajiri zaidi ya 300 katika maji ya magharibi mwa mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.

  • Viongozi wa nchi saba za Afrika na Ulaya wachunguza mwenendo wa uhajiri nchini Ufaransa

    Viongozi wa nchi saba za Afrika na Ulaya wachunguza mwenendo wa uhajiri nchini Ufaransa

    Aug 29, 2017 04:24

    Viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya wamekutana nchini Ufaransa kwa ajili ya kuchunguza namna ya kupunguza wimbi la uhajiri kutoka nchi za Afrika kuelekea barani Ulaya.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan

    Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan

    Aug 27, 2017 02:37

    Fayez al Sarraj Waziri Mkuu wa Libya anayeongoza serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo leo Jumapili anaelekea ziarani nchini Sudan.

  • Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video

    Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video

    Aug 26, 2017 15:26

    Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS