Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Viongozi wa nchi saba za Afrika na Ulaya wachunguza mwenendo wa uhajiri nchini Ufaransa

    Viongozi wa nchi saba za Afrika na Ulaya wachunguza mwenendo wa uhajiri nchini Ufaransa

    Aug 28, 2017 23:54

    Viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya wamekutana nchini Ufaransa kwa ajili ya kuchunguza namna ya kupunguza wimbi la uhajiri kutoka nchi za Afrika kuelekea barani Ulaya.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan

    Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan

    Aug 26, 2017 22:07

    Fayez al Sarraj Waziri Mkuu wa Libya anayeongoza serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo leo Jumapili anaelekea ziarani nchini Sudan.

  • Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video

    Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video

    Aug 26, 2017 10:56

    Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad.

  • Kamanda wa jeshi la Libya anayesakwa na ICC akamatwa

    Kamanda wa jeshi la Libya anayesakwa na ICC akamatwa

    Aug 18, 2017 03:36

    Maafisa usalama mashariki mwa Libya wamemtia nguvuni kamanda wa Jeshi la Taifa la Libya (LNA), siku chache baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa waranti wa wa kumatawa kwake kwa tuhuma za kuua makumi ya wafungwa

  • UNICEF: Watoto nusu milioni wa Libya wanahitaji msaada wa dharura

    UNICEF: Watoto nusu milioni wa Libya wanahitaji msaada wa dharura

    Aug 11, 2017 02:48

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umesema watoto zaidi ya laki tano nchini Libya wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu kutokana na mapigano ya pande hasimu za kisiasa nchini humo.

  • Der Spiegel: Mazingira ya kambi za wakimbizi Libya ni mabaya sana

    Der Spiegel: Mazingira ya kambi za wakimbizi Libya ni mabaya sana

    Aug 07, 2017 03:26

    Imeelezwa kuwa, mazingira yanayotawala katika kambi za wakimbizi nchini Libya ni mabaya sana.

  • Italia: Vitisho vya Khalifa Haftar havitazuia operesheni zetu katika Bahari ya Mediterania

    Italia: Vitisho vya Khalifa Haftar havitazuia operesheni zetu katika Bahari ya Mediterania

    Aug 05, 2017 08:50

    Balozi wa Italia nchini Libya, Giuseppe Perrone amesema kuwa vitisho vilivyotolewa na kamanda wa Jeshi la Taifa la nchi hiyo Khalifa Haftar, havitazuia majukumu ya Italia katika maji ya eneo hilo.

  • Al Mijabri akosoa makubaliano yaliyofikiwa kati ya serikali ya umoja wa kitaifa na Italia

    Al Mijabri akosoa makubaliano yaliyofikiwa kati ya serikali ya umoja wa kitaifa na Italia

    Aug 04, 2017 04:26

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Libya mwenye mfungamano na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yenye makao yake katika mji mkuu Tripoli amekosoa makubaliano yaliyofikiwa kati ya Waziri Mkuu wa serikali hiyo na na Italia.

  • Maiti 8 za wahajiri zapatikana katika boti ya plastiki Libya

    Maiti 8 za wahajiri zapatikana katika boti ya plastiki Libya

    Aug 02, 2017 03:46

    Miili 8 ya wahajiri waliokuwa wakielekea barani Ulaya imepatikana ndani ya boti ya plastiki na wapiga mbizi wa shirika moja lisilo la serikali katika pwani ya Libya.

  • Mipaka ya Libya na Tunisia yatajwa kuwa maficho ya wanachama wa Daesh

    Mipaka ya Libya na Tunisia yatajwa kuwa maficho ya wanachama wa Daesh

    Aug 01, 2017 22:07

    Mipaka ya Libya na Tunisia imetajwa kuwa maficho ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS