-
Jumatatu, tarehe 17 Juni, 2024
Jun 17, 2024 02:32Leo ni Jumatatu tarehe 10 Dhulhija 1445 Hijria sawa na tarehe 17 Juni 2024.
-
Alkhamisi, Juni 29, 2023
Jun 29, 2023 02:23Leo ni Alkhamisi tarehe 10 Mfunguo TAtu Dhulhija 1444 Hijria sawa na tarehe 29 Juni 2023 Milaadia.
-
Jumapili tarehe 10 Julai 2022
Jul 10, 2022 02:49Leo ni Jumapili tarehe 10 Dhulhija 1443 Hijria sawa na tarehe 10 Julai 2022.
-
Jumatano tarehe 21 Julai 2021
Jul 21, 2021 05:52Leo ni Jumatano tarehe 10 Mfunguo Tatu Dhulhija 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 21 Julai 2021.
-
Jumanne tarehe 16 Aprili, 2019
Apr 16, 2019 04:35Leo ni Jumanne tarehe 10 Sha'aban 1440, Hijiria, sawa na tarehe 16 Aprili 2019 Miladia.
-
Jumatano, 22 Agosti, 2018
Aug 22, 2018 02:18Leo ni Jumatano tarehe 10 Dhul-Hijja mwaka 1439 Hijria, sawa na tarehe 22 Agosti mwaka 2018.
-
Ijumaa tarehe Mosi Septemba, 2017
Sep 01, 2017 05:23Leo ni Ijumaa tarehe 10 Dhulhijja 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe Mosi Septemba, 2017
-
Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudia kutekeleza Ibada ya Hija
Aug 25, 2017 07:44Zaidi ya Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudi Arabia hadi hivi sasa kwa ajili ya kutekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija ambayo inaanza wiki ijayo.
-
Iran kufuatilia kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara katika mazungumzo na Saudia
Jan 15, 2017 03:50Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara wa Iran amesema, katika vikao kadhaa vya ndani kuhusiana na mazungumzo yajayo na Saudi Arabia juu ya ajenda kuu ya amali za Hija, imeamuliwa kufuatilia masuala ya usalama, suhula na kadhia muhimu ya ufuatiliaji wa kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara wa Kiirani waliofariki katika Msikiti Mtukufu wa Makka na eneo la Mina.
-
Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS
Oct 13, 2016 08:09Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.