Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Maandamano makubwa yafanyika London kupinga ubaguzi

    Maandamano makubwa yafanyika London kupinga ubaguzi

    Mar 17, 2019 00:56

    Makumi ya maelfu ya watu walikusanyika kati kati ya mji mkuu wa Uingereza, London jana Jumamosi kulaani na kupinga chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.

  • Maafisa wa chama tawala Algeria wajitenga na Rais Bouteflika

    Maafisa wa chama tawala Algeria wajitenga na Rais Bouteflika

    Mar 16, 2019 01:12

    Maafisa waandamizi wa chama tawala nchini Algeria cha FNL wamemtaka Rais Abdelaziz Bouteflika wa nchi hiyo kuchukua hatua ya 'kihistoria', hatua nyingine ambayo inaashiria kuwa chama hicho kimeendelea kujiweka mbali na Bouteflika.

  • Rais Bouteflika kurejea nchini Algeria leo, maandamano yachachamaa

    Rais Bouteflika kurejea nchini Algeria leo, maandamano yachachamaa

    Mar 10, 2019 10:51

    Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria anatazamiwa kurejea katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika leo Jumapili, baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda wa wiki mbili kwa ajili ya matibabu.

  • Maandamano ya Vizibao vya Njano yafanyika kwa wiki ya 17 dhidi ya Macron, Ufaransa

    Maandamano ya Vizibao vya Njano yafanyika kwa wiki ya 17 dhidi ya Macron, Ufaransa

    Mar 09, 2019 11:39

    Maandamano ya wananchi wa Ufaransa ya kupinga siasa za serikali ya nchi hiyo mashuhuri kama maandamano ya harakatri ya Visibao vya Njano yamefanyika leo kwa wiki ya 17.

  • Waalgeria waandamana hadi hospitali alikolazwa Bouteflika nchini Uswisi

    Waalgeria waandamana hadi hospitali alikolazwa Bouteflika nchini Uswisi

    Mar 09, 2019 00:52

    Waalgeria wanaoishi nchini Uswisi wamefanya maandamano ya kupinga msimamo wa Rais Abdelaziz Bouteflika wa kugombea tena urais kwa muhula wa tano.

  • Nchi za Magharibi zavunja kimya, zaitaka Algeria iheshimu haki za raia

    Nchi za Magharibi zavunja kimya, zaitaka Algeria iheshimu haki za raia

    Mar 06, 2019 04:46

    Nchi za Magharibi zimevunja kimya chao cha muda sasa mbele ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na vyombo vya dola nchini Algeria dhidi ya raia wanaopinga uamuzi wa rais mgonjwa wa nchi hiyo wa kutaka kugombea tena kiti hicho na kuitaka serikali ya Algiers iheshimu haki za raia ikiwemo haki ya kufanya maandamano ya amani.

  • Makumi wakamatwa Marekani kwa kulalamikia mauaji ya kijana mweusi

    Makumi wakamatwa Marekani kwa kulalamikia mauaji ya kijana mweusi

    Mar 05, 2019 11:01

    Makumi ya watu wametiwa mbaroni na polisi ya Marekani kwa kushiriki maandamano ya kupinga hatua ya Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali katika wilaya ya Sacramento jimboni California nchini humo, kuwaondolea mashitaka maafisa wa polisi waliommiminia risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa amejizatiti kwa silaha yoyote mwaka jana.

  • Mamia ya wanachuo waandamana nchini Algeria dhidi ya Bouteflika

    Mamia ya wanachuo waandamana nchini Algeria dhidi ya Bouteflika

    Feb 27, 2019 04:28

    Mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu wa Algeria wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo Algiers, kupinga mpango wa rais wa nchi hiyo Abdulaziz Bouteflika, kugombea tena urais kwa muhula wa tano.

  • Rais wa Sudan avunja serikali na kutangaza hali ya hatari 'kuzima' maandamano dhidi yake

    Rais wa Sudan avunja serikali na kutangaza hali ya hatari 'kuzima' maandamano dhidi yake

    Feb 23, 2019 03:09

    Rais Omar Hassan al-Bashir wa Sudan ametangaza hali ya hatari nchi nzima, huku akiipiga kalamu nyekundu serikali ya kifederali ya nchi hiyo.

  • Maandamano yaendelea Sudan, wananchi wamtaka al Bashir ang'atuke

    Maandamano yaendelea Sudan, wananchi wamtaka al Bashir ang'atuke

    Feb 22, 2019 12:39

    Askari wa usalama wa Sudan wametumia gesi ya kutoa machozi kukabiliana na mamia ya watu walifanya maandamano leo dhidi ya serikali ya nchi hiyo baada ya Swala ya Ijumaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS