-
Jumuiya za haki za binadamu: Mamia waliuawa katika maandamano ya mwaka jana Ethiopia
Apr 20, 2017 00:06Ofisi ya Haki za Binadamu nchini Ethiopia imetangaza kuwa, raia 669 waliuawa katika maandamano yaliyofanyika mwaka jana dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
-
Ghasia katika maandamano ya wafuasi na wapinzani wa Donald Trump huko California
Apr 16, 2017 11:22Ghasia zimeibuka katika maandamano baina ya wapinzani na wafuasi wa Rais Donald Trump wa Marekani katika jimbo la California.
-
Wakristo waungana na Waislamu Nigeria kushinikiza kuachiwa huru Zakzaky
Apr 12, 2017 02:55Kwa mara nyingine tena Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja kushinikiza kuachiwa huru mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Makumi ya waandamanaji watiwa nguvuni Kongo DR
Apr 12, 2017 02:43Makumi ya watu wametiwa mbaroni kwa kushiriki maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Zuma ayataja maandamano ya Afrika Kusini dhidi yake kuwa ni ya kibaguzi
Apr 10, 2017 10:26Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo ameyataja maandamano ya wiki iliyopita nchini humo ya kumshinikiza ajiuzulu kuwa ni ya kibaguzi.
-
Wamarekani waandamana kupinga mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Syria
Apr 08, 2017 11:21Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakipinga sera za kupenda vita na ubabe za serikali ya Rais mpya wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Maelfu waandamana kumpinga rais wa Senegal
Apr 08, 2017 03:22Maelfu ya watu wameandamana mjini Dakar, Senegal kupinga siasa za Rais Macky Sall wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Waislamu Nigeria wafufua maandamano ya kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Apr 07, 2017 03:06Kwa mara nyingine tena Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo, kushinikiza kuachiwa huru mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Mayahudi waandamana Quds kulaani ukaliaji wa mabavu wa Palestina
Apr 02, 2017 03:36Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano katika eneo la Quds tukufu kulaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi za Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Maelfu ya Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya kigaidi katika maeneo ya Waislamu wa Shia
Apr 01, 2017 11:40Maelfu ya raia wa Pakistan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni yaliyotokea katika eneo la Parachinar la Waislamu wa Shia nchini humo.