-
Rais wa Sierra Leone aomba msaada wa kimataifa, maafa ya maporomoko ya udongo
Aug 16, 2017 04:03Rais Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone ameomba misaada ya kimataifa kwa ajili ya wahanga wa maafa ya maporomoko ya udongo yaliyoambatana na mafuriko katika mji wa mlimani wa Regent kandokando ya mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown.
-
Watu 13 wafariki dunia katika maafa ya mafuriko kaskazini mwa Iran
Aug 12, 2017 13:16Watu wasiopungua 13 wamefariki dunia hapa nchini Iran na makumi ya wengine kujeruhiwa huku mali za watu zikiharibiwa kufuatia maafa ya mafuriko yaliyoyakumba maeneo ya kaskazini mwa nchi.
-
Watu 120 wafariki dunia baada ya kusombwa na mafuriko India
Jul 28, 2017 14:02Zaidi ya watu 120 wanaripotiwa kufariki dunia nchini India kufuatia janga la mafuriko yaliyotokea magharibi mwa nchi hiyo.
-
Nyumba elfu moja zaharibiwa na mafuriko nchini Nigeria
Jun 05, 2017 04:25Mratibu wa huduma za dharura wa shirika la kimataifa la wahajiri amesema kuwa, nyumba zisizopungua elfu moja zimeharibiwa na mafuriko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Waliokufa kutokana na mafuriko, maporoko Sri Lanka ni zaidi ya 150
May 29, 2017 03:48Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mvua za masika, mafuriko na mapomoko ya ardhi katika kisiwa cha Sri Lanka imepindukia watu 150.
-
40 wapoteza maisha katika mafuriko Iran, Kiongozi Muadhamu atoa kauli
Apr 16, 2017 07:23Makumi ya watu wamepoteza maisha katika janga la mafuriko kwenye mikoa ya kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Mafuriko, maporomoko ya udongo yaua 250 nchini Colombia
Apr 02, 2017 08:04Kwa akali watu 254 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo katika mkoa wa Putumayo kusini mwa Colombia.
-
100 wapoteza maisha kutokana na mafuriko China
Jul 21, 2016 14:16Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kaskazini mwa China.
-
112 wapoteza maisha katika mafuriko nchini China
Jul 05, 2016 13:28Kwa akali watu 112 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na vimbunga vilivyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katikati na kusini mwa China.
-
'Janga la Kimaumbile' latangazwa Paris kufuatia mafuriko
Jun 04, 2016 04:34Rais Francois Hollande wa Ufaransa ametangaza 'maafa ya kibinadamu' katika mji mkuu wa nchi hiyo kufuatia mvua kali ambazo zimesababisha mafuriko makubwa.