-
Malengo ya safari ya kiduru ya Jared Kushner katika eneo la Asia Magharibi
Aug 02, 2019 07:15Jared Kushner, mshauri mkuu wa Rais Donald Trump wa Marekani Jumatano iliyopita alianza safari ya kiduru katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo
Jul 26, 2019 07:27Russia imeonyesha msimamo wa kuiunga mkono Iran mkabala na tuhuma za Marekani dhidi ya Iran ambazo ni chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran
Jun 21, 2019 09:18Baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani imekuwa ikitekeleza siasa za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi
Jun 16, 2019 02:16Marekani katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Donald Trump imeanzisha jitihada za kuasisi muungano na kuimarisha uwepo wake katika eneo la Asia magharibi hususan katika Ghuba ya Uajemi kwa kisingizio cha eti kuwepo vitisho kutoka kwa Iran.
-
Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia magharibi
May 26, 2019 02:25Rais Donald Trump wa Marekani tangu aingie madarakani amekuwa akitoa zingatio makhusi kwa eneo la Asia Magharibi na khususan eneo la Ghuba ya Uajemi; na hata safari yake ya kwanza nje ya nchi ilikuwa nchini Saudi Arabia, ili kuonyesha umuhimu wa eneo hili katika siasa za nje za Marekani na nafasi ya washirika wa Washington katika eneo. Bila shaka Trump mara kadhaa amekuwa akiutaja utawala wa Saudia kuwa ni ng'ombe wa kukamwa.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 4
Feb 04, 2019 08:11Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa mpenzi na mfuatiliaji wa spoti, na karibu tuangazie baadhi ya matukio ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita....
-
Zarif: Iran inapigania eneo lenye nguvu na lenye ushirikiano wa wote
Jan 14, 2019 07:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa za Tehran zimesimama juu ya msingi wa kushirikiana vizuri na majirani zake na kwamba kinachopiganiwa na Iran ni kuweko eneo lenye nguvu na lenye ushirikiano wa wote.
-
Admeri Shamkhani: Hakuna nchi yenye uthubutu wa kuishambulia kijeshi Iran
Jan 08, 2019 02:33Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia uwezo wa kiulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusema kuwa, taifa hili lina nguvu na uwezo kiasi kwamba, hakuna nchi inayoweza kuthubutu kuishambulia kijeshi.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Nguvu za kiulinzi za Iran ni mali ya ndugu Waislamu na nchi rafiki
Jan 07, 2019 14:20Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran inazitambua nguvu zake za kiulinzi kwamba, ni mali ya ndugu wote Waislamu na nchi rafiki.
-
Kongamano la Kimataifa la Ulinzi na amani Magharibi mwa Asia litafanyika Jumatatu Tehran
Jan 06, 2019 14:11Kongamano la Kimataifa la Ulinzi na Amani Eneo la Asia Magharibi litafanyika kesho mjini Tehran likihudhuriwa na maafisa wa masuala ya kisiasa, kiulinzi na kiusalama na wataalamu wa nyanja hizo kutoka nchi mbalimbali za Asia na Ulaya.