Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mahakama

  • EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    Jan 29, 2019 10:34

    Umoja wa Ulaya umekosoa vikali hatua ya Mahakama ya Juu ya Bahrain ya kuidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya shakshia mashuhuri wa kidini na kisiasa nchini humo, Sheikh Ali Salman.

  • Mahakama ya DRC yathibitisha kuwa Tshisekedi ndiye mshindi halali wa urais

    Mahakama ya DRC yathibitisha kuwa Tshisekedi ndiye mshindi halali wa urais

    Jan 20, 2019 04:31

    Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Disemba 30 mwaka uliomalizika.

  • Fayulu asema alipata 61% ya kura, kwenda mahakamani leo kupinga matokeo ya CENI

    Fayulu asema alipata 61% ya kura, kwenda mahakamani leo kupinga matokeo ya CENI

    Jan 12, 2019 00:00

    Martin Fayulu, mgombea wa muungano wa upinzani wa Lamuka katika uchaguzi wa rais katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa yeye ndiye aliyeibuka mshindi katika uchaguzi huo kwa kupata asilimia 61 ya kura, huku akitazamiwa hii leo kwenda katika Mahakama ya Katiba kupinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi yaliyompa ushindi mgombea mwingine wa upinzani.

  • Uchaguzi Madagascar; Ravalomanana apinga ushindi wa Rajoelina mahakamani

    Uchaguzi Madagascar; Ravalomanana apinga ushindi wa Rajoelina mahakamani

    Dec 28, 2018 12:32

    Siku moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Madagascar kutangaza matokeo ya muda yaliyoonesha kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Andry Rajoelina ndiye aliyepata kura nyingi zaidi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyofanyika Disemba 19, mpinzani wake mkuu Marc Ravalomanana ameenda mahakamani kupinga matokeo hayo.

  • Misri nayo yataka marekebisho ya katiba ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais

    Misri nayo yataka marekebisho ya katiba ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais

    Dec 07, 2018 20:55

    Mahakama moja nchini Misri imetangaza Disemba 23 kama siku ya kusikiliza ombi la kutaka kufanyiwa marekebisho katiba ya nchi, yatakayomruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo agombee zaidi ya mihula miwili iliyoruhusiwa na katiba.

  • Mahakama Zambia yamuidhinisha Rais Lungu kugombea muhula wa tatu

    Mahakama Zambia yamuidhinisha Rais Lungu kugombea muhula wa tatu

    Dec 07, 2018 11:05

    Mahakama ya Katiba Zambia imetangaza kuwa Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo anaweza kugombea muhula wa tatu katika uchaguzi mkuu ujao unaotazamiwa kufanyika mwaka 2021.

  • Kiongozi wa upinzani Rwanda: Mashinikizo hayataninyamazisha

    Kiongozi wa upinzani Rwanda: Mashinikizo hayataninyamazisha

    Dec 05, 2018 12:59

    Mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa Rwanda Diane Shima Rwigara amesema katu hatasalimu amri mbele ya mashinikizo na vitisho dhidi yake.

  • Trump apata pigo, CNN yashinda kesi dhidi yake

    Trump apata pigo, CNN yashinda kesi dhidi yake

    Nov 16, 2018 21:43

    Mahakama moja nchini Marekani imeiagiza Ikulu ya White House kumrejeshea mwandishi wa habari wa televisheni ya CNN kibali ilichompokonya na kumzuia kuingia katika ikulu hiyo, baada ya kulumbana vikali na Rais Donald Trump.

  • Wanafunzi Waislamu Nigeria waruhusiwa kuvaa Hijabu shuleni Lagos

    Wanafunzi Waislamu Nigeria waruhusiwa kuvaa Hijabu shuleni Lagos

    Nov 15, 2018 11:56

    Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Nigeria NSCIA limepongeza agizo la Mahakama ya Juu nchini humo la kuitaka serikali ya jimbo la Lagos kuwaruhusu wanafunzi Waislamu kuvaa Hijabu katika shule za umma katika mji mkuu huo wa kibiashara.

  • Wafuasi 28 wa upinzani Zimbabwe washtakiwa kwa kuzusha vurugu baada ya uchaguzi

    Wafuasi 28 wa upinzani Zimbabwe washtakiwa kwa kuzusha vurugu baada ya uchaguzi

    Aug 05, 2018 03:45

    Wafuasi wasiopungua 28 wa mrengo wa upinzani nchini Zimbabwe wamepelekwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya kuzusha vurugu na machafuko baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi mkuu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS