Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu

  • Jumatano tarehe 28 Mei 2025

    Jumatano tarehe 28 Mei 2025

    May 28, 2025 02:05

    Leo ni Jumatano tarehe Mosi Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1446 Hijria mwafaka na tarehe 28 Mei 2025.

  • Jumatano, 13 Novemba, 2024

    Jumatano, 13 Novemba, 2024

    Nov 13, 2024 02:16

    Leo ni Jumatano tarehe 11 Jamadil Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 13 Novemba 2024.

  • Ghalibaf: Sayyid Hassan Nasrullahh ameuawa shahidi katika njia ya ukombozi wa Quds

    Ghalibaf: Sayyid Hassan Nasrullahh ameuawa shahidi katika njia ya ukombozi wa Quds

    Sep 29, 2024 06:10

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameuawa shahidi katika njia takatifu ya kuupigania Uislamu na ukombozi wa Quds.

  • Qalibaf: Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena umeonesha dhati yake ya kijinai

    Qalibaf: Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena umeonesha dhati yake ya kijinai

    Aug 04, 2024 07:24

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni katika miji ya Beirut na Tehran na kuendelea kuwaua watoto huko Ghaza, kwa mara nyingine tena zimewaonesha walimwengu dhati halisi ya kijinai, ukatili na ubeberu wa dola hilo pandikizi.

  • Spika wa Bunge la Iran: Utawala wa Kizayuni utalipa gharama ya jinai yake

    Spika wa Bunge la Iran: Utawala wa Kizayuni utalipa gharama ya jinai yake

    Aug 01, 2024 11:19

    Katika kujibu mauaji ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas mjini Tehran, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa gharama kubwa ya chokockoko zake katika ardhi ya Iran.

  • Hafla ya kuapishwa Rais wa Iran kufanyika leo

    Hafla ya kuapishwa Rais wa Iran kufanyika leo

    Jul 30, 2024 07:40

    Hafla ya kuapishwa Rais mpya wa Iran inafanyika leo katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge).

  • Rais mteule wa Iran ashiriki katika kikao cha wazi cha Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge)

    Rais mteule wa Iran ashiriki katika kikao cha wazi cha Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge)

    Jul 21, 2024 12:22

    Masoud Pezeshkian Rais mteule wa Iran leo ameshiriki katika kikao cha wazi cha Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) na kusisitiza kutatuliwa matatizo ya wananchi kupitia uratibu, maelewano na ushirikiano.

  • Wabunge wamchagua Qalibaf kuwa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge)

    Wabunge wamchagua Qalibaf kuwa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge)

    May 28, 2024 08:18

    Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) wamemchagua Muhammad Bagheri Qalibaf kuwa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu katika mkutano wa kwanza wa bunge la 12.

  • Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge linapaswa kuleta utulivu na matumaini

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge linapaswa kuleta utulivu na matumaini

    May 27, 2024 08:14

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuanza kazi Awamu ya 12 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge), amesisitiza kuhusu kuwepo Bunge lenye uwiano, mwingiliano wenye nidhamu na mshikamano na mihimili mingine ya dola na pia ndani yake liwe lenye usahihi na subira.

  • Uwezo wa kisheria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kikabiliana na matukio yasiyotabirika

    Uwezo wa kisheria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kikabiliana na matukio yasiyotabirika

    May 22, 2024 08:30

    Kuanza kazi kwa awamu ya 6 ya Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuainishwa tarehe 28 June kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi mpya wa Rais nchini kunaonyesha wazi uwezo mkubwa wa kisheria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na matukio yanayojitokeza katika nyakati tofauti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS