-
Utayari wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran wa kuendesha duru ya pili ya Uchaguzi wa Bunge
May 06, 2024 22:44Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran ametangaza utayarifu wa wizara hiyo wa kuendesha duru ya pili ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) siku ya Ijumaa ya tarehe 10 Mei.
-
Spika ya Majlisi ya Iran: Utamaduni wa kufa shahidi unawatia hofu maadui
Feb 01, 2024 23:12Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameeleza kuwa utamaduni wa kufa shahidi unawatia hofu maadui.
-
Spika wa Iran azungumza na maspika wa nchi 7 za Kiislamu kuhusu jinai za Wazayuni Palestina
Oct 12, 2023 10:00Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amefanya mazungumzo ya simu kwa nyakati tofauti na maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu za Uturuki, Algeria, Syria, Imarati, Lebanon, Oman na Kuwait na kuwahimiza wajibu wa kuchukuliwa hatua za haraka za kukomesha jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza huko Palesitna.
-
Qalibaf aendelea na mashauriano huko Abu Dhabi; akutana na Rais wa Imarati
Oct 06, 2023 04:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuhusu kustawisha uhusiano wa pande mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban afanya mazungumzo na wabunge wa Iran mjini Kabul
Aug 27, 2023 10:51Ujumbe wa wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) walioko ziarani nchini Afghanistan wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya Taliban katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
-
Spika wa Bunge la Tunisia asifu misimamo ya kimapinduzi ya Iran kuhusu suala la Palestina.
Jun 22, 2023 03:38Spika mpya wa Baraza la Wawakilishi la Tunisia ameshukuru na kusifu misimamo chanya na ya kimapinduzi ya Iran kuhusu kadhia ya Palestina na kusisitiza utayarifu wa nchi yake wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jumapili, tarehe 28 Mei, 2023
May 27, 2023 21:47Leo ni Jumapili tarehe 8 Dhulqaada 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 28 Mei, 2023.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatua ya kimkakati ya Bunge ya kukabiliana na vikwazo ilizuia mkanganyiko katika suala la nyuklia
May 24, 2023 08:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amasema sheria ya kistratijia iliyopitishwa na Bunge la Iran mwaka 2020 ili kukabiliana na vikwazo iliiokoa nchi kutokana na "kuchanganyikiwa katika suala la nyuklia".
-
Spika wa Bunge la Pakistan: Mapambano ya Iran yamekuwa mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine
May 11, 2023 07:47Spika wa Bunge la Taifa la Pakistan amesema mapambano ya kishujaa ya Iran mbele ya changamoto mbalimbali yamekuwa mfano wa kkuigwa kwa mataifa mengine duniani.
-
Kuwasili nchini Iran kwa ndege za kivita aina ya Sukhoi 35, mapema mwaka ujao
Jan 15, 2023 03:36Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameashiria kuwasili nchini mapema mwaka ujao wa Kiirani unaoanza Machi 21, ndege za kivita aina ya Sukhoi 35.