-
Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza
Sep 01, 2025 07:24Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.
-
Jumapili, 31 Agosti, 2025
Aug 31, 2025 02:51Leo ni Jumapili tarehe 7 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 31Agosti 2025.
-
Jumanne, tarehe 10 Juni, 2025
Jun 10, 2025 02:12Leo ni Jumanne tarehe 14 Mfunguo Tatu Dhulhija 1446 Hijria sawa na tarehe 10 Juni 2025.
-
Jumamosi, 31 Agosti, 2024
Aug 31, 2024 04:10Leo ni Jumamosi 26 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria mwafaka na 31 Agosti 2024.
-
Jumatatu, 10 Juni, 2024
Jun 10, 2024 03:25Leo ni Jumatatu tarehe 3 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1445 Hijria sawa na tarehe 10 Juni 2024 Miladia.
-
Amir-Abdollahian: Iran haitoruhusu Israel kuhatarisha usalama wa ukanda huu
Apr 16, 2024 10:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaamini kwamba usalama na utulivu wa nchi za eneo hili zima ni muhimu sana kwake, bali ni sawa kabisa na usalama wake yenyewe na haitoruhusu utawala wa Kizayuni kuhatarisha usalama wa eneo hili kwa chokochoko zake.
-
Malaysia: Tunaunga mkono kwa dhati Muqawama wa Palestina dhidi ya uvamizi wa Israel
Mar 13, 2024 02:47Waziri Mkuu wa Malaysia amesema anaunga mkono kwa dhati Muqawama wa makundi ya Wapalestina dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Malaysia: Magharibi ni mshirika wa jinai za Israel kwa kimya chake
Jan 17, 2024 07:42Waziri Mkuu wa Malaysia amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kufumbia macho matukio ya Gaza na kusisitiza kuwa, Wamagharibi ni washirika wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina kwa kimya chao hicho.
-
Kulaaniwa kimataifa veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la kusitisha vita vya Gaza
Dec 11, 2023 02:48Kitendo cha kinyama na cha kijinai cha Marekani cha kulipigia kura ya veto azimio la kusitisha vita Gaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimeendelea kulaaniwa kimataifa.
-
Kuendelea uungaji mkono wa jamii ya kimataifa hususan nchi za Kiislamu kwa wananchi wa Gaza
Oct 18, 2023 02:28Sambamba na kupita zaidi ya siku kumi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze kufanya jinai dhidi ya wananchi wa Gaza, himaya na uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza na wanamapambano wa Palestina nao unaendelea.