-
Kucheza na moto kwa Trump kunaweza kusababisha mzozo kamili kanda ya Asia Magharibi
Jan 30, 2026 08:30Iran imetangaza kwamba kauli za "kuchochea vita" za Donald Trump zinazidisha mvutano wa kikanda.
-
Kumalizika operesheni ya kijeshi Tripoli; Libya yaingia tena kwenye mgogoro
May 13, 2025 23:11Wizara ya Ulinzi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza kumalizika kwa mafanikio operesheni ya kijeshi huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
RSF yaua na kujeruhi makumi ya raia wa Sudan Kordofan Kusini
Apr 02, 2025 23:02Kwa akali raia 12 wa Sudan wameuawa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan Kusini.
-
Jeshi la Sudan: Tumevunja mzingiro wa RSF Khartoum
Jan 25, 2025 08:05Jeshi la Sudan limetangaza habari ya kufanikiwa kuvunja 'mzingiro' uliowekwa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya Kamandi Kuu ya jeshi hilo katikati mwa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mapigano mapya yaripotiwa katika maeneo kadhaa ya Sudan
Jun 03, 2024 07:57Watu kadhaa wanahofiwa kuuawa na kujeruhiwa baada ya kuzuka mapigano mapya kati ya Jeshi la Sudan (SAF) na kundi la waasi wanaojulikana kama Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) katika maeneo tofauti ya Sudan.
-
IDMC: Kuna ongezeko kubwa la ukimbizi wa ndani unaosababishwa na migogoro duniani
May 15, 2024 03:28Ripoti mpya ya Kituo cha Ufuatiliaji wa Ukimbizi wa Ndani (IDMC) inaonyesha kuwa migogoro na ghasia duniani zimesababisha ongezeko lisilo na kifani la idadi ya wakimbizi wa ndani kufikia mwisho wa 2023.
-
Watu 11 wauawa katika mapigano ya kikabila magharibi ya DRC
Feb 01, 2024 07:41Watu wasiopungua 11 wameuwa baada ya kuibuka mapigano makali ya kikabila katika mkoa wa Mai-Ndombe, magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Mapigano nchini Sudan yapanuka hadi Wad Madani, maelfu ya watu wahama makazi yao
Dec 17, 2023 07:51Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vinapigana na Jeshi la Sudan nje ya mji wa Wad Madani katika Jimbo la Al-Jazira (katikati mwa Sudan) na kwamba mapigano hayo yamelazimisha maelfu ya raia kukimbia makazi yao na kuelekea maeneo salama.
-
RSF yadai kwamba imeua wanajeshi 260 wa Sudan
Aug 23, 2023 06:51Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) vimedai kuwa vimewaua mamia ya askari wa vikosi vya Jeshi la Sudan, huku mapigano baina ya pande mbili hizo yakishtadi.
-
Ujumbe wa ECOWAS waondoka Niger bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi
Aug 04, 2023 08:39Ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) umeondoka katika mji mkuu wa Niger, Niamey bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi, Jenerali Abdourahmane Tchiani, huku rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Bazoum akitoa wito kwa jamii ya kimataifa kusaidia kurejesha utawala wa kikatiba.