-
Katibu Mkuu wa NATO: Ulaya 'iendelee kuota' kama inadhani inaweza kujilinda bila ya US
Jan 27, 2026 06:38Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte amesema, Umoja wa Ulaya, EU bali hata Ulaya nzima haina uwezo wa kujilinda bila ya Marekani na kusisitiza kuwa, nchi wanachama zitalazimika kutumia hadi 10% ya Pato lao la Taifa kwa ajili ya shirika hilo la kijeshi, ambayo inaweza pia isitoshe.
-
Ugaidi wa ndani nchini Marekani na mtazamo wa undumakuwili wa Washington
Jan 27, 2026 02:32Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ametaja aina yoyote ya uchochezi au utekelezaji wa vurugu dhidi ya serikali kuwa ni mfano wa ‘ugaidi wa ndani’.
-
Iran: Tutatoa jibu la 'kujutisha' kwa uchokozi wowote wa maadui
Jan 26, 2026 12:19Iran imeonya kwamba, Jamhuri ya Kiislamu itatoa "jibu la kujutisha" kwa kitendo chochote cha uchokozi, ikisisitiza kwamba taifa hili sasa lina uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi kuliko hapo awali.
-
Iran yazifungulia mashitaka US, Israel kwa kuunga mkono ugaidi
Jan 26, 2026 10:16Iran imewasilisha malalamiko ya kisheria na jinai katika majukwaa ya kimataifa dhidi ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel, na makundi kadhaa ya kigaidi kwa kuunga mkono na kufadhili vitendo vya ugaidi na uhaini dhidi ya usalama wa taifa wa Iran.
-
Katika mazungumzo na US, Misri yahimiza Israel iondoke Ghaza, ifungue tena kivuko cha Rafah
Jan 26, 2026 03:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty ametoa wito kwa utawala wa kizayuni wa Israel kujiondoa katika Ukanda wa Ghaza na kufungua tena kivuko cha mpakani cha Rafah kuliingana na makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoanza kutekelezwa Oktoba mwaka jana.
-
Maandamano yashtadi US baada ya raia mwingine kuuawa Minneapolis
Jan 25, 2026 06:59Maajenti wa serikali kuu ya Marekani wamemuua kwa kumpiga risasi mtu mwingine mjini Minneapolis huku kukiwa na msako mkali dhidi ya wahamiaji, na kushadidisha maandamano na wito mpya kwa Rais Donald Trump kuwaondoa mara moja maafisa hao waliojizatiti kwa silaha katika jiji hilo lililoko katika jimbo la Minnesota.
-
Trump aitishia Canada kwa ushuru wa 100%, kisa biashara na China
Jan 25, 2026 06:57Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuitoza Canada ushuru wa asilimia 100 iwapo Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney atatekeleza makubaliano ya kibiashara na China.
-
DA yakanusha madai ya Trump ya kuwepo mauaji ya Wazungu A/Kusini
Jan 24, 2026 02:48Kiongozi wa chama cha Democratic Alliance cha Afrika Kusini (DA), John Steenhuisen amekadhibisha madai ya kuwepo "mauaji ya kimbari ya Wazungu" nchini Afrika Kusini.
-
Kwa nini rais wa Brazil amemkejeli Trump?
Jan 24, 2026 02:47Rais Lula da Silva wa Brazil amemkejeli Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na tweet nyingi za kutatanisha anazoandika katika mitandao ya kijamii.
-
Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amuonya vikali Trump
Jan 22, 2026 06:56Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran amemuonya vikali Rais Donald Trump wa Marekani kufuatia matamshi yake ya hivi karibuni ya vitisho dhidi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.