• Russia: Marekani irejeshe fedha za Afghanistan zilizoibwa

    Russia: Marekani irejeshe fedha za Afghanistan zilizoibwa

    Aug 30, 2022 05:13

    Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa ameitaka Marekani izirejeshe fedha zilizoibiwa Afghanistan.

  • Mossad inakula njama ya kuzuia kufufuliwa JCPOA

    Mossad inakula njama ya kuzuia kufufuliwa JCPOA

    Aug 29, 2022 06:32

    Mkuu wa Shirika la Kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) anatazamiwa kuelekea Washington kufanya mikutano kadhaa ya faragha na maafisa wa serikali ya Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

    Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

    Aug 28, 2022 22:03

    Kufuatia matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Nader Hashemi, Mhadhiri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Mashariki ya Kati katika Chuo Kikuu cha Denver, kuhusiana na uwezekano wa Israel kuhusika katika shambulio dhidi ya Salman Rushdie, Warepublican katika Congress ya Marekani wameonya kuhusu ushawishi wa Iran katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kutangaza kwamba watachunguza suala hilo katika miezi ijayo.

  • Mashambulizi haramu ya Marekani nchini Syria, nembo ya ubeberu wa Washington

    Mashambulizi haramu ya Marekani nchini Syria, nembo ya ubeberu wa Washington

    Aug 26, 2022 22:54

    John Kriby, mratibu wa mahusiano ya kiistratijia ya baraza la usalama wa taifa la ikulu ya Marekani, White House amejaribu kuhalalalisha mashambulio haramu ya nchi yake huko Syria na kudai kuwa, eti Washington haina nia ya kuzidisha machafuko katika eneo hili.

  • White House yakataa kuzungumza na Israel kuhusu JCPOA

    White House yakataa kuzungumza na Israel kuhusu JCPOA

    Aug 25, 2022 07:37

    Ikulu ya White House ya Marekani imeripotiwa kulipiga na chini ombi la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel la kufanya mazungumzo ya simu 'ya dharura' na Rais Joe Biden, kuhusu mazungumzo yaliyko katika hatua za mwisho ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

    Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

    Aug 25, 2022 03:36

    Edward "Ned" Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya. 

  • Kan'ani: Iran imepokea jibu la Marekani

    Kan'ani: Iran imepokea jibu la Marekani

    Aug 24, 2022 22:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa Iran imepokea jibu la serikali ya Marekani kuhusu mitazamo ya Iran kuhusu kutatua masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo.

  • Kuuawa bintiye Dugin na kupanuka zaidi mgogoro wa Russia na Ukraine

    Kuuawa bintiye Dugin na kupanuka zaidi mgogoro wa Russia na Ukraine

    Aug 24, 2022 05:08

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametuma salamu zake za rambirambi kwa wazazi wa Darya Dugina, binti ya Alexander Dugin, mwananadharia mashuhuri wa Russia. Putin ameutaja uhalifu huo kuwa "mbaya na ukatili" na akamuelezea Darya Dugina kama mtu aliyekuwa mwerevu, mwenye talanta na moyo wa kweli wa utaifa wa Russia.

  • Marekani yawataka raia wake waondoke haraka Ukraine

    Marekani yawataka raia wake waondoke haraka Ukraine

    Aug 23, 2022 23:49

    Marekani imewataka raia wake waondoke nchini Ukraine haraka iwezekanvyo, huku kukiwa na wasiwasi wa Russia kuanza kuushambulia mji mkuu wa nchi hiyo, Kiev.

  • Marekani yapinga ombi la Ukraine la kuwanyima visa raia wa Russia

    Marekani yapinga ombi la Ukraine la kuwanyima visa raia wa Russia

    Aug 23, 2022 05:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amepinga ombi la Ukraine la kuwanyima visa raia wa Russia.