• SEPAH: Watu milioni 8.5 wameuawa kutokana na uingiliaji mambo wa Marekani

    SEPAH: Watu milioni 8.5 wameuawa kutokana na uingiliaji mambo wa Marekani

    Nov 02, 2019 09:13

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema watu zaidi ya milioni nane na laki tano wameuawa kutokana na uingiliaji wa mambo wa Marekani wa moja kwa moja na usio wa moja kwa moja katika eneo na katika ulimwengu wa Kiislamu, ndani ya miaka 40 iliyopita.

  • Democrats wataka Marekani iikatie Israel misaada ya kijeshi

    Democrats wataka Marekani iikatie Israel misaada ya kijeshi

    Nov 02, 2019 09:01

    Wagombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrat nchini Marekani wamesema serikali ya Washington inapaswa kusitisha misaada ya kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, iwapo utaendelea kupora na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Zarif: Wairani hawatasalimu amri mbele dhulma za Marekani

    Zarif: Wairani hawatasalimu amri mbele dhulma za Marekani

    Nov 02, 2019 03:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumzia vikwazo vipya vya Marekkani dhidi ya Iran na kusema kuwa, hata kama Marekani itawawekea vikwazo wanaume, wanawake na watoto wote wa Iran kamwe Wairani hawatasalimu amri na kupiga magoti mbele ya serikali ya Washington.

  • Zimbabwe yaonya kuhusu matamshi ya uingiliaji mambo ya balozi wa Marekani

    Zimbabwe yaonya kuhusu matamshi ya uingiliaji mambo ya balozi wa Marekani

    Nov 01, 2019 08:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe amemuonya balozi wa Marekani mjini Harare, mji mkuu wa nchi hiyo kutokana na matamshi yake ya uingiliaji katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Vikwazo vipya vya Marekani na waitifaki wake wa eneo dhidi ya Iran na makundi ya muqawama

    Vikwazo vipya vya Marekani na waitifaki wake wa eneo dhidi ya Iran na makundi ya muqawama

    Oct 31, 2019 21:40

    Sera za serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ni kuendelea kushadidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika fremu ya 'mashinikizo ya juu kabisa' kwa kushirikiana na waitifaki wake. Kwa msingi huo Trump sasa anajaribu pia kuyawekea vikwazo makundi ya muqawama au mapambano ya Kiislamu katika eneo.

  • HRW: Askari wa Afghanistan waliopewa mafunzo na CIA wanafanya jinai za kivita

    HRW: Askari wa Afghanistan waliopewa mafunzo na CIA wanafanya jinai za kivita

    Oct 31, 2019 08:01

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa, kikosi cha askari wa Afghanistan kilichopewa mafunzo na kufadhiliwa na shirika la ujasusi la Marekani CIA kimefanya uhalifu wa kivita kutokana na mbinu zao za kuvamia makazi ya raia nyakati za usiku, kupoteza watu, kushambulia vituo vya afya na kuua raia.

  • Ukosoaji mkali wa Human Rights Watch kwa Marekani kutokana na vikwazo vyake dhidi ya Iran

    Ukosoaji mkali wa Human Rights Watch kwa Marekani kutokana na vikwazo vyake dhidi ya Iran

    Oct 30, 2019 10:10

    Baada ya kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump ya Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya mapatano hayo bali hata iliongeza vikwazo vingine vingi na kujigamba kuwa imeiwekea Iran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa ambavyo havijawahi kuwekewa nchi yoyote ile duniani.

  • Marekani na magendo ya mafuta ya Syria

    Marekani na magendo ya mafuta ya Syria

    Oct 30, 2019 04:12

    Jumatatu iliyopita Mark Esper, Waziri wa Ulinzi wa Marekani alidai kuwa eti nchi yake ipo nchini Syria kwa ajili ya kulinda vyanzo vya mafuta vya taifa hilo la Kiarabu, na kwamba Washington haitaki kuona vyanzo hivyo vikiingia kwa mara nyingine katika udhibiti wa kundi la Daesh (ISIS).

  • Trump adai pia habari ya kuuawa mrithi wa Abubakar al-Baghdadi

    Trump adai pia habari ya kuuawa mrithi wa Abubakar al-Baghdadi

    Oct 30, 2019 01:07

    Rais Donald Trump wa Marekani ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba askari wa Kimarekani wamemuua pia mrithi wa Abubakar al-Baghdadi, kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).

  • Marekani yadai imeitupa baharini maiti ya Abu Bakr al Baghdadi

    Marekani yadai imeitupa baharini maiti ya Abu Bakr al Baghdadi

    Oct 29, 2019 13:06

    Mkuu wa majeshi ya Marekani amedai kuwa mwili wa aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi umetupwa bahaini baada ya kuthibitishwa kuwa wake kupitia kipimo cha vinasaba (DNA).