Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje

    Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje

    Jul 14, 2019 02:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuyauza mafuta yake nje ya nchi bila kubabaishwa na chochote.

  • Ujasusi mpya wa serikali ya Marekani dhidi ya raia kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi

    Ujasusi mpya wa serikali ya Marekani dhidi ya raia kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi

    Jul 14, 2019 01:30

    Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani Serikali ya Federali ya nchi hiyo ilitunga sheria mpya za kudukua kumpyuta na mitandao ya intaneti ya raia ikisaidiwa na Kongresi kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Mwishoni mwa kipindi cha utawala wa Barack Obama zilifanyika jitihada za kupunguza udukuzi na operesheni hizo za ujasusi dhidi ya raia wa Marekani.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kujitoa Marekani katika JCPOA, sababu kuu ya mgogoro Mashariki ya Kati

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kujitoa Marekani katika JCPOA, sababu kuu ya mgogoro Mashariki ya Kati

    Jul 13, 2019 22:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amefanya mazungumzo na Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya mjini Baghdad ambapo alisema kuwa hatua ya Marekani ya kujitoa kwa upande mmoja katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni sababu kuu ya mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Maelfu waandamana Marekani kupinga udhalilishaji wa Trump kwa wahajiri

    Maelfu waandamana Marekani kupinga udhalilishaji wa Trump kwa wahajiri

    Jul 13, 2019 07:59

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Marekani, kupinga sera hasi za utawala wa Rais Donald Trump dhidi ya wahajiri wanaozuiliwa katika vituo vya mpaka wa nchi hiyo, na pia dhidi ya mpango wa kuwakamata na kuwatimua nchi humo wahajiri ambao hawajasajiliwa.

  • Uturuki yaanza kupokea mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia

    Uturuki yaanza kupokea mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia

    Jul 12, 2019 20:38

    Uturuki imepokea shehena ya kwanza ya mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia licha ya makelele na vitisho vya Marekani.

  • China: Marekani isicheze na moto katika kadhia ya Taiwan

    China: Marekani isicheze na moto katika kadhia ya Taiwan

    Jul 12, 2019 11:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameionya vikali Marekani isijaribu kucheza na moto kuhusiana na suala la Taiwan, huku akikosoa vikali mpango wa Washington wa kukiuzia silaha kisiwa hicho ambacho Beijing inasisitiza kuwa ni milki yake.

  • Kamanda wa IRGC: Uingereza na Marekani zitajuta kwa kuizuilia meli ya mafuta ya Iran

    Kamanda wa IRGC: Uingereza na Marekani zitajuta kwa kuizuilia meli ya mafuta ya Iran

    Jul 11, 2019 21:56

    Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) ameonya kuwa, Uingereza na Marekani zitajuta kutokana na hatua ya London ya kusimamisha na kuzuilia meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal Tariq (Gibraltar).

  • Zarif: Wamarekani wametengwa katika siasa za kimataifa

    Zarif: Wamarekani wametengwa katika siasa za kimataifa

    Jul 11, 2019 07:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezitaja siasa na machaguo yasiyofaa ya Marekani kuwa miongoni mwa sababu za ushindi wa muqawama na kutengwa Washington katika uga wa siasa za kimataifa.

  • Aoun: Kuiwekea vikwazo  Hizbullah ni kuivunjia heshima Lebanon

    Aoun: Kuiwekea vikwazo Hizbullah ni kuivunjia heshima Lebanon

    Jul 11, 2019 06:52

    Rais wa Lebanon amesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya wawakilishi wa harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo ni sawa na kuivunjia heshima Lebanon.

  • Russia: Marekani haina haki ya kuikosoa Iran kuhusiana na JCPOA

    Russia: Marekani haina haki ya kuikosoa Iran kuhusiana na JCPOA

    Jul 11, 2019 03:48

    Mwakilishi wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA amesema kuwa Marekani haina haki yoyote ya kisheria ya kuikosoa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na hatua yake ya kupunguza ahadi zake kuhusiana na mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS