Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Serikali ya Trump kuteketeza tani 500 za chakula, dunia ikisakamwa na njaa

    Serikali ya Trump kuteketeza tani 500 za chakula, dunia ikisakamwa na njaa

    Jul 18, 2025 13:40

    Marekani inajiandaa kuharibu karibu tani 500 za chakula cha msaada wa dharura, ikiwa ni sehemu ya hifadhi kubwa ya tani 60,000 za chakula hicho iliyokwama katika maghala katika sehemu mbalimbali duniani, huku njaa ikiongezeka kote ulimwenguni.

  • Afisa wa zamani wa Pentagon: Huenda US ikaishiwa na makombora

    Afisa wa zamani wa Pentagon: Huenda US ikaishiwa na makombora

    Jul 18, 2025 10:44

    Mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon), Douglas Macgregor ameonya kuwa, Marekani inaweza kuishiwa na hifadhi yake ya makombora ndani ya siku nane.

  • Jibu la suali la leo; nini sababu ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa US kukosoa sera ya Trump kuhusiana na Iran?

    Jibu la suali la leo; nini sababu ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa US kukosoa sera ya Trump kuhusiana na Iran?

    Jul 18, 2025 08:53

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken, amekosoa mwelekeo wa rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran; na licha ya kuibua madai mengine mapya amesema: Iran bado haijaamua kuunda silaha za nyuklia na imetekeleza ahadi zake katika JCPOA.

  • Rais wa Brazil asema, Trump ni rais wa Marekani, si ‘mtawala mkuu’ wa dunia

    Rais wa Brazil asema, Trump ni rais wa Marekani, si ‘mtawala mkuu’ wa dunia

    Jul 18, 2025 03:27

    Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amepinga tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokana nchini humo, na kuapa kuwa "atajibu mapigo" dhidi ya hatua hiyo na kutetea maslahi ya watu wake.

  • Eswatini kuwatimua wahamiaji 'sugu' kutoka US baada ya malalamiko

    Eswatini kuwatimua wahamiaji 'sugu' kutoka US baada ya malalamiko

    Jul 17, 2025 01:29

    Serikali ya Eswatini ilisema jana Jumatano kwamba, inawashikilia raia watano wa nchi ya tatu waliofukuzwa kutoka Marekani katika magereza yaliyotengwa, chini ya makubaliano na utawala wa Rais Donald Trump, lakini inapania kuwarejesha katika nchi zao.

  • Nini lengo la Umoja wa Ulaya katika kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran?

    Nini lengo la Umoja wa Ulaya katika kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran?

    Jul 16, 2025 23:05

    Umoja wa Ulaya, ukifuata nyayo za Marekani, umeendeleza siasa za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika nyanja mbalimbali katika muhula wa pili wa uongozi wa Donald Trump kwa shabaha ya kuilazimisha Tehran isalimu amri mbele ya matakwa ya kupindukia mipaka ya nchi za Magharibi.

  • US yaweka rekodi mpya ya kuogofya, yatimua maelfu ya watoto

    US yaweka rekodi mpya ya kuogofya, yatimua maelfu ya watoto

    Jul 15, 2025 01:13

    Zaidi ya watoto 8,300 wahamiaji wasio na vibali, wenye chini ya umri wa miaka 11 walipewa maagizo ya kufukuzwa nchini Marekani mwezi Aprili, hiyo ikiwa ni idadi ya juu zaidi ya kila mwezi kuwahi kurekodiwa nchini humo.

  • Kupungua uungaji mkono wa wafuasi wa MAGA kwa vita vya Israel dhidi ya Iran; sababu, matokeo na athari zake kwa siasa za Marekani

    Kupungua uungaji mkono wa wafuasi wa MAGA kwa vita vya Israel dhidi ya Iran; sababu, matokeo na athari zake kwa siasa za Marekani

    Jul 14, 2025 05:41

    Katika miezi ya hivi karibuni, anga ya kisiasa ya Marekani imeshuhudia mabadiliko makubwa katika mtazamo wa wafuasi wa MAGA yenye maana ya Ifanye Tena Kuu Marekani, (Make America Great Again) kuhusiana na vita vya Israel dhidi ya Iran.

  • Karibu 50% ya Wajapan manusura wa bomu la nyuklia wasema

    Karibu 50% ya Wajapan manusura wa bomu la nyuklia wasema "hawawezi kuisamehe" Marekani

    Jul 14, 2025 03:02

    Uchunguzi uliofanywa na Shirika la Habari la Kyodo la Japan unaonyesha kuwa, karibu asilimia 70 ya manusura wa shambulio la bomu la atomiki lililofanywa na Marekani dhidi ya nchi hiyo wanaamini kuwa silaha za nyuklia zinaweza kutumika tena.

  • Araghchi: Netanyahu 'anaiamuru waziwazi' Marekani cha kufanya katika mazungumzo na Iran

    Araghchi: Netanyahu 'anaiamuru waziwazi' Marekani cha kufanya katika mazungumzo na Iran

    Jul 14, 2025 00:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel ameshindwa kufikia lolote kati ya malengo ya vita vya karibuni vya utawala huo ghasibu dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS