-
Gazeti la US Today: Uchumi wa Marekani umekwama au unakaribia kwenye mdororo
Apr 14, 2025 23:44Gazeti la US Today la Marekani limeandika kuwa utabiri unaonyesha kuwa ukuaji uchumi wa Marekani utakabiliwa na mkwamo au unakaribia kudorora licha ya kusimamishwa kwa ushuru wa Trump.
-
Iran: Mazungumzo ya Oman ni chanya na ya matumaini; kuendelea wiki ijayo
Apr 12, 2025 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ameitaja duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani kuwa "chanya na yenye kuleta matumaini."
-
CNN: Uvumilivu wa Wamarekani kwa Tel Aviv unaisha
Apr 12, 2025 22:50Chanzo makini kimetangaza kuwa, subira ya Wamarekani kwa vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel inakwisha.
-
Iran: Tunataka makubaliano ya haki, heshima na usawa; Israel yaingiwa na kiwewe
Apr 12, 2025 08:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu inataka makubaliano ya haki na ya heshima, na yaliyojadiliwa kwenye mazingira ya usawa. Sayyid Araghchi amesema hayo kabla ya kuanza mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na wawakilishi wa Marekani.
-
Rais Xi wa China aonya: Marekani itajitenga yenyewe
Apr 12, 2025 07:44Rais wa China, Xi Jinping ametahadharisha kuwa, Marekani iko katika hatari ya kujitenga yenyewe kwa kushupalia vita vya ushuru na vikwazo vya biashara vya upande mmoja.
-
Marekani yaendeleza mradi wa kuwatimua wanafunzi wa kimataifa wanaoiunga mkono Palestina
Apr 11, 2025 22:48Ukandamizaji na vitisho dhidi ya wanafunzi wanaounga mkono haki ya Wapalestina unaendelea katika vyuo vikuu vya Marekani, jambo ambalo limevuruga mfumo wa elimu nchini humo.
-
Kusalimu amri Trump katika sera zake za vita vya kiuchumi duniani
Apr 11, 2025 04:12Rais wa Marekani Donald Trump, amesalimu amri baada ya masoko ya hisa ya Marekani kuporomoka vibaya kutokana na sera zake mbovu za kuanzisha vita vya kiudhumi na kuzipandishia ushuru bidhaa za nchi zote duniani.
-
Viongozi wa Amerika ya Latini watoa wito kupinga ushuru wa Trump
Apr 10, 2025 08:02Viongozi wa nchi za Amerika ya Latini wametaka kuweko umoja na mshikamano wa kukabiliana na ushuru wa Rais Donald Trump wa Marekani na kuyumba uchumi kunakosababishwa na hatua hizo za Trump.
-
China yajibu mapigo; yaongeza ushuru wa 84% kwa bidhaa za US
Apr 09, 2025 23:24China imesisitiza kuwa "itapambana hadi mwisho" mkabala wa vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani, Donald Trump.
-
Ubelgiji nayo yatia ulimi puani, yasema: Hatutamkamata Netanyahu
Apr 09, 2025 03:05Ubelgiji nayo pia imetangaza kuwa haitotii amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutaka waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu akamatwe na kukabidhiwa kwa mahakama hiyo.