Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Zarif aikosoa US kwa kumwekea vikwazo ripota wa UN

    Zarif aikosoa US kwa kumwekea vikwazo ripota wa UN

    Jul 10, 2025 16:54

    Aliyekuwa Makamu wa Rais katika Masuala ya Kistratajia wa Iran, Mohammad-Javad Zarif amekosoa hatua ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • US yamwekea vikwazo ripota wa UN Albanese kwa kukosoa jinai za Ghaza

    US yamwekea vikwazo ripota wa UN Albanese kwa kukosoa jinai za Ghaza

    Jul 10, 2025 02:49

    Marekani imetangaza kuwa inamwekea vikwazo ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Palestina, Francesca Albanese.

  • Kwa nini watu wengi duniani wana mtazamo hasi kuhusu Marekani?

    Kwa nini watu wengi duniani wana mtazamo hasi kuhusu Marekani?

    Jul 09, 2025 23:19

    Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa na Kituo cha Utafiti cha Pew, watu wa Canada na Mexico, majirani wawili wa karibu wa Marekani, wanaitambua nchi hiyo kuwa tishio kubwa zaidi kwao.

  • Iran: Trump anaongopa kudai kuwa tumeomba tufanye mazungumzo

    Iran: Trump anaongopa kudai kuwa tumeomba tufanye mazungumzo

    Jul 08, 2025 13:14

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekanusha vikali matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump kwamba Tehran imeomba kufanyike mazungumzo, ikiikashifu Washington kwa kubuni madai yasiyo na msingi ili kuficha kushindwa kwake.

  • Kwa nini mizozo ya madola ya Ulaya kuhusu jinsi ya kukabiliana na vita vya ushuru vya Trump imeongezeka?

    Kwa nini mizozo ya madola ya Ulaya kuhusu jinsi ya kukabiliana na vita vya ushuru vya Trump imeongezeka?

    Jul 08, 2025 09:59

    Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena ameibua vita vya kibiashara na ulimwengu kwa kutangaza kwamba, ataamua kiwango cha ushuru wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje kwa kutuma barua kwa nchi 12 kuanzia Jumatatu ya jana, Julai 7.

  • Waliofariki kwa mafuriko katika jimbo la Texas nchini Marekani yafikia 104

    Waliofariki kwa mafuriko katika jimbo la Texas nchini Marekani yafikia 104

    Jul 08, 2025 07:40

    Duru kadhaa za habari zimeripoti kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani imeongezeka na kufikia 104.

  • Wahanga wa mafuriko ya Texas, Marekani yaongezeka hadi watu 50

    Wahanga wa mafuriko ya Texas, Marekani yaongezeka hadi watu 50

    Jul 06, 2025 04:21

    Kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani, mamlaka za eneo hilo zimetangaza kuwa idadi ya waliofariki dunia imepindukia 50 na wengine wasiopungua 29 hawajulikani waliko.

  • Sababu za Marekani na Israel kuwapiga risasi Wapalestina kwenye safu za misaada huko Gaza

    Sababu za Marekani na Israel kuwapiga risasi Wapalestina kwenye safu za misaada huko Gaza

    Jul 05, 2025 22:55

    Wakandarasi wa usalama wa Marekani wanatumia risasi za moto, maguruneti, na gesi ya kuwasha dhidi ya raia katika vituo vya usambazaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.

  • Jibu thabiti la Araghchi kwa msimamo wa kimihemko wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya

    Jibu thabiti la Araghchi kwa msimamo wa kimihemko wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya

    Jul 04, 2025 23:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa jibu thabiti kwa kauli ya hivi majuzi ya Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, kwamba mazungumzo yoyote yale yatakayofanyika, lengo lake liwe ni "kufuta moja kwa moja mpango wa nyuklia wa Iran".

  • Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine

    Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine

    Jul 04, 2025 08:56

    Katika hali ambayo Ukraine imekuwa ikishambuliwa vikali kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya Russia katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesitisha baadhi ya shehena za kijeshi ilizoahidiwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya Patriot na Hellfire.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS