Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran

    Trump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran

    Apr 02, 2025 23:05

    Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo huo inaongeza kiwango cha vikosi vya jeshi lake vamizi katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ili kujiandaa kwa operesheni tarajiwa za kijeshi dhidi ya Tehran.

  • Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen

    Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen

    Apr 02, 2025 23:03

    Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada na uungaji mkono wake kwa Wapalestina wa Gaza, limepelekea makumi ya raia wa Yemen kuuawa ndani ya wiki mbili.

  • Marekani inapokosa mwamana; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland

    Marekani inapokosa mwamana; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland

    Apr 02, 2025 09:13

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa na Marekani hata kama ni kwa kutumia nguvu za kijeshi.

  • Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza

    Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza

    Apr 01, 2025 23:35

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema akizungumzia mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwaondoa Wapalestina Ukanda wa Gaza kwamba: "Mtu yeyote anayeweza kushika silaha anapaswa kuchukua hatua katika uwanja huu."

  • Araghchi: Maadui watajuta kwa kutoa vitisho dhidi ya Iran

    Araghchi: Maadui watajuta kwa kutoa vitisho dhidi ya Iran

    Apr 01, 2025 08:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitamruhusu mtu yeyote kuzungumza nayo kwa lugha ya ubabe na vitisho, akiwaonya maadui kwamba watajuta kulitishia taifa hili.

  • Wizara ya Ulinzi ya Iran: Chokochoko dhidi yetu zitakabiliwa na jibu madhubuti

    Wizara ya Ulinzi ya Iran: Chokochoko dhidi yetu zitakabiliwa na jibu madhubuti

    Apr 01, 2025 07:23

    Wizara ya Ulinzi ya Iran imewaonya vikali maadui kwamba, kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya taifa hili kitakabiliwa na jibu la haraka na madhubuti.

  • Baqaei: Marekani ijitayarishe kwa athari za hatua yoyote dhidi ya Iran

    Baqaei: Marekani ijitayarishe kwa athari za hatua yoyote dhidi ya Iran

    Mar 31, 2025 08:22

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza katika ujumbe wake kwamba, tishio lolote la rais wa nchi la kuishambulia Iran kwa mabomu ni ukiukaji wa wazi na kiini cha amani na usalama wa kimataifa.

  • Marekani, Mshirika Asiyeaminika

    Marekani, Mshirika Asiyeaminika

    Mar 30, 2025 23:09

    Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, ambaye amemrithi Justin Trudeau, amesisitiza kwamba atajibu hatua za Marekani dhidi ya nchi hiyo katika nyanja za kiuchumi na kibiashara, na amekiri kwamba: "Marekani si mshirika wa kuaminika tena."

  • Araqchi: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Yemen yanadhihirisha namna nchi hiyo inavyoshiriki katika uvunjaji wa sheria wa Israel

    Araqchi: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Yemen yanadhihirisha namna nchi hiyo inavyoshiriki katika uvunjaji wa sheria wa Israel

    Mar 30, 2025 03:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani mashambulizi ya kijeshi ya mara kwa mara ya Marekani katika maeneo mbalimbali ya Yemen na kusema: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani huko Yemen sambamba na kushtadi mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na hujuma zake dhidi ya Lebanon na Syria, yanaonyesha namna Marekani inavyoshiriki katika uvunjaji sheria wa Israel na kwenda sambamba na utawala huo katika kueneza machafuko na hali ya mchafukoge katika eneo.

  • Wanachuo 300 wapokonywa viza US kwa kuiunga mkono Palestina

    Wanachuo 300 wapokonywa viza US kwa kuiunga mkono Palestina

    Mar 30, 2025 02:59

    Marekani imebatilisha viza za wanafunzi zaidi ya 300 wa kigeni kwa kuratibu na kushiriki katika maandamano ya kuwanga mkono na kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina katika mabewa ya vyuo vikuu kote nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS