-
Ukosoaji wa Iran kwa Baraza la Usalama la UN kwa kutochukua hatua kuhusiana na mauaji ya kimbari ya Wapalestina wa Ghazza
Feb 29, 2024 03:44Tangu ilipoanza duru mpya ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghazza, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikitumia kila fursa inayopata kulaani jinai za utawala huo ghasibu na kutaka mashambulizi ya kinyama yanayofanywa dhidi ya Wapalestina yakomeshwe.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Dhamiri zilizoamka zinapinga mauaji ya kimbari ya Wapalestina
Feb 27, 2024 09:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amekitaja kilio cha rubani wa Marekani aliyejitoa mhanga kwa kujichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington akipinga mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza kuwa ni sauti kubwa ya dhamiri zilizoamka nchini Marekani zinazopinga uungaji mkono wa serikali nchi hiyo kwa mauaji ya kimbari ya Wapalestina.
-
Rais wa Brazil: Kinachofanywa na Wazayuni huko Ghaza ni mauaji ya umati
Feb 24, 2024 02:49Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni mauaji ya umati.
-
Mwakilishi wa Afrika Kusini ICJ: Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza
Feb 21, 2024 07:48Mwakilishi wa Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ametangaza kuwa, uvamizi na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza yanatisha zaidi kuliko mfumo wa ubaguzi wa rangi, apartheid.
-
Askari katili wa Israel wamuua baba na mama Wapalestina mbele ya watoto wao wadogo
Feb 15, 2024 23:55Katika muendelezo wa mauaji ya kimbari dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Ghazza, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua kwa kuwapiga risasi wazazi wa watoto kadhaa wa Kipalestina mbele ya macho yao.
-
Maoni: Wamarekani wanaamini Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza
Feb 08, 2024 23:03Nusu ya Wamarekani wanaamini kuwa, kumefanyika mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Mahakama ya ICJ yaionya Israel na kuitaka iache kufanya mauaji ya kimbari Gaza
Jan 26, 2024 23:09Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeiamuru Israel iache vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina, na kuchukua hatua za kuwasaidia raia.
-
Kesi iliyofunguliwa na A/Kusini dhidi ya Israel yaendelea kuungwa mkono
Jan 21, 2024 23:28Kwa mara nyingine tena, Ubelgiji imejiunga kwenye safu ndefu ya waungaji mkono wa hatua ya Afrika ya Kusini ya kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kutokana na jinai zake za kupindukia dhidi ya watoto wachanga, wanawake, vizee na watu wa kawaida huko Ghaza.
-
Namibia yaikumbusha Ujerumani kwamba ilifanya mauaji ya kwanza ya kimbari ya karne ya 20
Jan 14, 2024 09:43Namibia imepinga uungaji mkono wa Ujerumani kwa msimamo wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, (ICJ) ambapo inakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
DCI: Mwaka 2023 ndio mwaka umbaya zaidi kwa watoto wa Kipalestina
Jan 11, 2024 23:14Kundi la kimataifa linalofanya kazi katika uwanja wa kulinda watoto duniani limeutaja mwaka 2023 kuwa mwaka wa mauaji ya kimbari ya watoto wa Kipalestina huko Gaza.