-
Serikali ya Burundi kutoshiriki mazungumzo ya amani, Tanzania
Feb 16, 2017 04:30Serikali ya Burundi imesema haitoshiriki katika mazungumzo ya kujaribu kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo yanayotazamiwa kuanza hii leo nchini Tanzania.
-
Rais Bashar al-Assad: Iran ni muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria
Jan 26, 2017 10:05Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, Iran imekuwa muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria katika kipindi chote cha mgogoro wa nchi hiyo uliodumu kwa miaka sita sasa.
-
Besigye atoa masharti ya kufanya mazungumzo na Rais Museveni
Jan 04, 2017 04:00Kinara wa upinzani nchini Uganda ametoa masharti matano kwa serikali ya Rais Yoweri Museveni iwapo inataka kufanya mazungumzo ya kitaifa kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Iran na Kyrgyzstan zasaini hati tano za mapatano ya ushirikiano
Dec 23, 2016 03:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Ijumaa amekutana na Rais Almazbek Atambayev wa Kyrgyzstan katika ikulu ya rais huyo mjini Bishkek na kufanya mazungumzo kuhusu kuimarisha uhusiano wa pande pamoja na masuala mbalimbali ya kieneo na kimataifa.
-
Mkurugenzi wa IAEA afanya mazungumzo na mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran
Dec 18, 2016 04:03Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Umoja wa Mataifa IAEA, Yukia Amano, amewasili Tehran leo asubuhi na kufanya mazungumzo na mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran Ali Akbar Salehi.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kujitolea mashahidi
Dec 15, 2016 10:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mawimbi ya njama na mashambulizi ya uistikbari katika kadhia mbalimbali duniani kuwa yalikuwa ni kwa ajili ya Iran ya Kiislamu na kueleza kuwa, kutawala Qur'ani na dini nchini Iran na kueneza masuala hayo katika pembe nyingine za dunia, ni sababu iliyomfanya adui ahisi hatari na hivyo kufanya njama na kuendesha harakati dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran.
-
Rais wa Sudan Kusini ataka kufanyika Mazungumzo ya Kitaifa
Dec 15, 2016 00:49Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametoa wito wa kufanyika 'Mazungumzo ya Kitaifa' ili kuupatia ufumbuzi mzozo wa kisiasa na kiusalama unaoikabili nchi hiyo.
-
Kiongozi Muadhamu alionya Baraza la Congress la Marekani
Nov 27, 2016 13:29Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelionya Baraza la Congress la Marekani akisisitiza kuwa, hatua yoyote ya kuvirudisha vikwazo ambavyo muda wake umeisha ni uwekaji wa vikwazo vipya na ni uvunjaji wa makubaliano.
-
Iran na Thailand kuimarisha uhusiano wa pande zote
Oct 09, 2016 10:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi mbili za Iran na Thailand zina nia ya kweli ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kielimu.
-
Chama chenye misimamo mikali Ujerumani chavunja mazungumzo na Waislamu
May 24, 2016 11:51Chama cha mrengo wa kulia nchini Ujerumani cha AfD kimevunja mazungumzo yaliyotazamia kuupatia ufumbuzi mkwaruzano kati yao na wanaharakati Waislamu nchini humo.