-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuwakamata vijana wa Bahrain
Jun 15, 2023 11:47Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kuwakamata kiholela vijana wa kiume na kike wa nchi hiyo katika maeneo tofauti ya nchi kwa sababu za kisiasa.
-
Kutiwa nguvuni Rached Ghannouchi kiongozi wa Chama cha Kiislamu cha Ennahdha cha Tunisia
Apr 19, 2023 11:23Chama cha Kiislamu cha Ennahdha nchini Tunisia Jumatatu wiki hii kilitangaza kuwa askari usalama wamemtia mbaroni Rached Ghannouchi mkuu wa chama hicho baada ya kuivamia nyumba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis.
-
Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita
Mar 19, 2023 07:41Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 14, 2022 07:50Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Sanad yalaani kuongezeka hukumu za kikatili nchini Saudi Arabia
Oct 02, 2022 02:14Shirika la kutetea haki za binadamu la "Sanad" limetangaza kuwa kumeshuhudiwa ongezeko la kukamatwa wakosoaji na hukumu za kikatili na kidhalimu nchini Saudi Arabia katika kipindi cha hivi karibuni.
-
Makumi ya viongozi wa serikali ya Saudia watiwa mbaroni kwa kula rushwa
Jul 31, 2022 07:25Serikali ya Saudi Arabia imewatia mbaroni maafisa 78 wa serikali kwa tuhuma za ufisadi, kula rushwa, utapeli, kutakatisha fedha na kutumia vibaya madaraka yao.
-
HAMAS: Kukamata kiholela Wapalestina hakuwezi kulifanya taifa la Palestina liache kupambana na Wazayuni
Feb 24, 2022 08:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza katika taarifa yake kwamba, operesheni ya kuwakamata kiholela Wapalestina katu haiwezi kulifanya taifa la Palestina liachane na mapambano yake dhidi ya Wazayuni maghasibu wanaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Utawala ghasibu wa Kizayuni washadidisha kamatamata dhidi ya raia wa Palestina
Jan 19, 2022 10:23Wazayuni maghasibu wamebomoa nyumba kadhaa za raia wa Palestina na kuwatia mbaroni Wapalestina 27 ikiwa ni katika kuendelea uadui na chuki za utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Saudia kuwanyonga wafungwa 41, jumuiya za kimataifa zapaza sauti kupinga
Sep 19, 2021 16:33Wafungwa 41 wanaoshikiliwa katika jela za Saudi Arabia wamehukumiwa kifo baada ya mahakama za nchi hiyo kutoa hukumu za kidhalimu dhidi ya wafungwa hao.
-
Ijumaa tarehe 25 Jun 2021
Jun 25, 2021 03:27Leo ni Ijumaa tarehe 14 Dhulqaada 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 25 Juni mwaka 2021.